Lucky One
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 663
- 431
Mhhh [emoji57]Weka picha yako kwanza si ajabu sura yako ni ngumu kuliko ya mumeo.
Mhhh [emoji57]Weka picha yako kwanza si ajabu sura yako ni ngumu kuliko ya mumeo.
We jamaa ungepigwa tu LIFE BAN.Hapa ndipo kauli ya kosea vyote ila usikosee kuoa inadhihirika!Mtoa mada una tofauti gani na mchawi wewe??female anopheles mosquito!!
Karibu nipm ila Mimi nimeoa nakupa Mbegu tuJamani napenda sana kuwa na mtoto shombe shombe ila ndio hivyo sijabahatika kuolewa na mtu wa hivyo. Nimeolewa na mtu mwenye sura ngumu kuanzia yeye mpaka familia yao yote mpaka naogopa zaa nae. Japo kila siku anakazania anataka mtoto ila ndio hivyo naogopa. Nampenda sana ananipenda pia amani treat kama queen ila hmmm nikifikiria kuzaa nae moyo wangu unasita. Kuna mwanamke yeyote humu ameshawahi kukutana na hali kama hii? Ulifanyaje?
ndio maana muda mwingine huwa nawaita MAJINI maana mnabadilika muda wowote uleJamani napenda sana kuwa na mtoto shombe shombe ila ndio hivyo sijabahatika kuolewa na mtu wa hivyo. Nimeolewa na mtu mwenye sura ngumu kuanzia yeye mpaka familia yao yote mpaka naogopa zaa nae. Japo kila siku anakazania anataka mtoto ila ndio hivyo naogopa. Nampenda sana ananipenda pia amani treat kama queen ila hmmm nikifikiria kuzaa nae moyo wangu unasita. Kuna mwanamke yeyote humu ameshawahi kukutana na hali kama hii? Ulifanyaje?