Yan nikisikia kitu au habar yeyote uwa nakuwa roho juu,mtu akiniambia kitu siwez kabisa kukaa nacho moyon lazima niseme tu,yaan na enjoy sana umbea,mbaya zaid nyumban ndo dah hat nikiwa wapi lazima nipigiwe simu nipewe taarifa,ikitokea siku nimesafir bas nyumba inapoa sana,nikirud wee umbea kwenda mbele,yaan kwa kweli nimezid umbea kwa kweli,nikiona mtu kasimama na mtu kosa,mtaa mzima lazima wajue kupitia mimi.kuna duka moja ivi uwa tunakaa vijana tunapiga umbea yaan had watu wanatuogopa ukipita tu,bas taarifa zako zinamwagwa hatari,kijiwe chetu kinaogopwa sana,yaan kila nikijitahid niache niish maisha yangu nashindwa yaani napenda sana umbea,nikipata taarifa yako tu bas lazima mtaa mzima wajue,na enjoy sana umbea jamn,hadi nimenenepa napenda sana umbea....