Napenda sana mwanamke akilia

Napenda sana mwanamke akilia

Mimi nikimwonaga mwanamke analia nadindi..sha...
 
Kila mtu na hobbies zake. Kuna jamaa huku ofisini kutoka Unguja, yeye anatembea na mavi ya mke wake kwenye kikasha cha kiberiti,,kila mara ananusa....
 
Kila mtu na hobbies zake. Kuna jamaa huku ofisini kutoka Unguja, yeye anatembea na mavi ya mke wake kwenye kikasha cha kiberiti,,kila mara ananusa....

dah!! we jamaa unachosema ni kweli ama?
 
Ndo walewale kwa hiyo huyo shemeji yetu unamtengenezea visa ili alie au vp upate umbembeleze duu ila wengine ndo ivo wakilia wanakuwa na sura km za remi na sauti km ya zembwela kavu mpaka kero
 
Ndo walewale kwa hiyo huyo shemeji yetu unamtengenezea visa ili alie au vp upate umbembeleze duu ila wengine ndo ivo wakilia wanakuwa na sura km za remi na sauti km ya zembwela kavu mpaka kero

Hahahah yaan dah!!! Umeniweza
 
Sasa itabidi uwe unahudhuria misibani na ukae na akina mama mkuu ili uwabembeleze pale wanapolia.
 
Mwandishi wa hii post bila shaka kabisa,najiridhisha kuwa anaiandikia akitokea dodoma milembe moja
 
Ahsante cute b, njoo nikuchokeze basi maksudi ila nikubembeleze maana kitambo kweli sijapata hiyo bahati

Ha ha ha sasa ukinichokoza sitalia maana nitakuwa najua ni utani...ngoja siku nikikwazika nikutafute unibembeleze
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom