Napenda sana mwanamke akilia

Napenda sana mwanamke akilia

nikimuona mwanamke analia huwa nafarijika sana huwa napatwa na huzuni usoni ila nahisi raha sana moyoni na huwa naenda kumbembeleza kama nipo nae karibu hapo ndo raha inaongeze
Nikuulize swali je mama yako mzazi akilia utajisikiaje?
 
Tupo tofauti kidogo, Mimi hufurahishwa na mwanamke anayelia huku akifinya finya shuka na godoro wakati natoa penzi zito....akiwa hivyo hunichukua hata lisaa na zaidi kumaliza mzunguko mmoja tu..kile kilio hunifanya nijione kidume kweli kweli...heheheheh
 
Nikuulize swali je mama yako mzazi akilia utajisikiaje?

Sitajisikia vibaya kwa kuwa analia ila nitajisikia vibaya kwa kukosa uwezo wa kumbembeleza
 
Tupo tofauti kidogo, Mimi hufurahishwa na mwanamke anayelia huku akifinya finya shuka na godoro wakati natoa penzi zito....akiwa hivyo hunichukua hata lisaa na zaidi kumaliza mzunguko mmoja tu..kile kilio hunifanya nijione kidume kweli kweli...heheheheh

daaah! mkuu nimepata picha raha unayoipata
 
Inategemes asee kuna wengine wanalia alaf wakibembelezwa hawabembelezek...unambembeleza weeeeeeee ndo kwanza anazidisha mwisho inabd umuongezee na kofi juuu tu mana unabembeleza habembelezek had kero yan ..mi napenda mtu unaembembeleza then anakua active na kibembelezo chako na unajickia vzr coz u dd!!
 
hayo ni matatizo aisee.... so usipopata wa kulia mwenyewe utafanya juu chini umlize ili umbembeleze
 
Mwanaume anayejua kubembeleza mzuri sana.Utakuta limtu limekosea limekuumizs hadi umelia hata kubembeleza halijui shit limekazana tu nisamehe mpenzi wangu bila vitendo ha!ha!ha.Kubembelezwa raha ati

Uwiii mbavu zangU,nimecheka.mpk basi..
Dada kubembeleza nako kipaji..
Ila mm naweza,ninacho nashkru..sio wote wametunukiwa kipaji hicho
 
duh, nyota yako ni mpya kabisaaa duniani mkuu
 
Nimeipenda hiyo...kumbe mnapenda kubembeleza eeeeh.
Na mimi napenda kubembelezwa hata kwa kudanganywa nafarijika sana.
 
Ahsante cute b, njoo nikuchokeze basi maksudi ila nikubembeleze maana kitambo kweli sijapata hiyo bahati
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom