Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,888
Utapata PM za mademu wengi sana humu. Maana wengine akilia nasikia hasira, naweza muua
sijui kama nina tatizo au vipi lakini sio siri yani nikimuona mwanamke analia huwa nafarijika sana huwa napatwa na huzuni usoni ila nahisi raha sana moyoni na huwa naenda kumbembeleza kama nipo nae karibu hapo ndo raha inaongezeka moyoni,jana nilipita mitaa flani nikamkuta mdada analia yuko pekeyake anasubiri daladala nikaona si vibaya nikamsogelea pale alipo nikamkuta anatokwa machozi hataki kusema tatizo ni nini basi nikambembeleza pale hadi raha yani kumbembeleza mwanamke hadi akanyamaza then nikamuuliza tatizo nini akasema mapenzi nikasema shit.!!
hadi leo sijajua tatizo langu akilia mtoto sipendi akilia mwanaume sipendi ila akilia mwanamke napenda sana nim'bembeleze

Kuwa kikundi hapa cha wanawake huwa kinakodiwa kulia msibani, nikupe contact waje wakuburudishe?