Napenda sana mwanamke akilia

Napenda sana mwanamke akilia

Wewe utakuwa enzi zako za utoto ulikuwa ukipigwa nambavu wa mtaani
kwenu unakimbilia kwa dada zako waka kuubembeleze badala ya kukomaa
na kutunisha msuli wako kwa vidume wenzio, sasa umeathirika sana
kisaikolojia mpaka sasa. na ndio maana una penda kupangusana machozi
na watoto wa kike tu...

enzi za utoto wangu nilikuwa nawapenda sana wasichana nao walikuwa wananipenda sana ilikuwa wakipigwa kwao wananifata wanajua nitawabembeleza tu
 
Kuwa kikundi hapa cha wanawake huwa kinakodiwa kulia msibani, nikupe contact waje wakuburudishe?

dah! mi napenda wakilia niwabembeleze sasa nitaweza kuwabembeleza wote hao?,kwani sitaki wanaolia kwa maigizo
 
tatizo lako la kwanza ni kuwa hujaoa..
ukioa baada ya miezi miwili utakuja mwenyewe kuutoa huu uzi.

ha ha! ngoja nioe af niangalie kama kuna ukweli na unalolisema
 
Hahahahaa mtoa mada kuna raha bwana mtoto wa kike ukalia kisha kidume kikakubembeleza... ukaangusha kichwa kifuani akakufuta machozi eebwana... hahahaha tena mwingine ndo mwisho wa kukubembeleza huchelewi kupewa tamu... sio jianaume unalia ndo kwanza linafoka ukilia inasaidia nini sasa! Jikaze! Utasema mgambo kumbe mpenzi!
 
Wewe ni psychopath. Ma serial killers wengi wana ugonjwa huu. Teddy Bundy kwa mfano alikuwa anafurahia sana wanawake wakilia wakati anawabaka na kuwakata kata viungo vyao. Hata Jeffrey Dahmer alikuwa anapata raha ya ajabu akianza kuwatoboa mafuvu vijana weusi huku wanalia. Eti vile vilio tu vilikuwa vinamfanya asisimke na kupata raha kama vile anapiga bao. Tafuta msaada mapema kabla hujaanza ku-act kwenye hizi fantasy zako za ajabu. Fuata ushauri wa Paulo Sergio De Souz uonane na psychiatrist au psychotherapist haraka.
 
hahaha et utasema mgambo cc wakurya
 
sio jianaume unalia ndo kwanza linafoka ukilia inasaidia nini sasa! Jikaze! Utasema mgambo kumbe mpenzi!
ha ha haaa..teh teh teeehhh!!!
 
Wewe ni psychopath. Ma serial killers wengi wana ugonjwa huu. Teddy Bundy kwa mfano alikuwa anafurahia sana wanawake wakilia wakati anawabaka na kuwakata kata viungo vyao. Hata Jeffrey Dahmer alikuwa anapata raha ya ajabu akianza kuwatoboa mafuvu vijana weusi huku wanalia. Eti vile vilio tu vilikuwa vinamfanya asisimke na kupata raha kama vile anapiga bao. Tafuta msaada mapema kabla hujaanza ku-act kwenye hizi fantasy zako za ajabu. Fuata ushauri wa Paulo Sergio De Souz uonane na psychiatrist au psychotherapist haraka.

hapana mkuu mi sio kama hao watu mi napenda alie ili nimbembeleze tu
 
Back
Top Bottom