Napenda sana mademu ila siwapati

Napenda sana mademu ila siwapati

Sana aisee, ila nikiwa Arusha nakuwaje Soft. Huku Dar ndio hakunipendi tu jamani😢😂
Kila mtu na ngozi yake.
Kuna wakati tulikuwa Makutupora Dom... nilitakata na hali ya hewa, ila wengine walifubaa hatari.
Na Arusha heri baridi, pakiwa na jua linasumbua pia.
 
Kila mtu na ngozi yake.
Kuna wakati tulikuwa Makutupora Dom... nilitakata na hali ya hewa, ila wengine walifubaa hatari.
Na Arusha heri baridi, pakiwa na jua linasumbua pia.
Kabisa, ila ngoja nione hii palmers itanifikisha wapi🤔.
 
Mwambie aingie kwenye huu uzi apate connection za wadau ajilie mema ya Nchi
Huu uzi akiutumia vibaya tutampoteza kijana mapema sana
 
Back
Top Bottom