Napenda sana mademu ila siwapati

Napenda sana mademu ila siwapati

Waongo sana hao

72 hrs huogi??
Heri ingekuwa perfume useme itabaki kwa nguo.
Mara lotion 48hrs mosturizing,, 8hrs later umepauka 😂😂😂
🤣🤣🤣 ila hii lotion yangu imeandikwa pia 48 hrs mosturizing. Heals Marks sijui na nini lakini mpaka sasa hivi naona hola. Nimeshatumia pesa nyingi asiee😪
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    357.1 KB · Views: 1
🤣🤣🤣 ila hii lotion yangu imeandikwa pia 48 hrs mosturizing. Heals Marks sijui na nini lakini mpaka sasa hivi naona hola. Nimeshatumia pesa nyingi asiee😪
Palmers anabagua ngozi huyo 😂😂
Ukipaka usoni jiandae na rashes
Ila inanukia vizuriiiii

Mwilini kwani yanakupausha?
 
Palmers anabagua ngozi huyo 😂😂
Ukipaka usoni jiandae na rashes
Ila inanukia vizuriiiii

Mwilini kwani yanakupausha?
Hapana, mwili upo soft, shida yangu ni uso tu😂 kuna vi mark vinne hivi vinanisumbua ndio nataka vitoke hivyo
 
Back
Top Bottom