Napenda nami initokee

Napenda nami initokee

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,765
Reaction score
61,404
'Mwanajeshi mstaafu wa jeshi la Marekani KT Robbins, (97) ambaye alishiriki katika vita ya pili ya dunia amekutana na mpenzi wake Jeannine Pierson, 92 mfaransa waliyepoteana kwa miaka (75), baada ya vita kuisha kukutana katika maadhimisho ya D-Day. 'Source: KONA YA HABARI
p1.jpg


p2.jpg
 
Baada ya miaka 2 Mbele Watanzania tutataman tukutane na RAMBO lakin haitawezekana kam saiz!No way RIP Rambo 🏃🏃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom