Napenda kuwaona wanawake wakikatika

Napenda kuwaona wanawake wakikatika

Kuna kundi flani hivi around 1998 sina uhakika lilitokea nchi gani vile lilikuwa linaitwa Super ningui saff
Na Gadji celi- hawa walikuwa wanacheza celi
Ebwana wee walikuwa wanacheza si mchezo
 
Back
Top Bottom