Wakala
Member
- Dec 26, 2012
- 57
- 66
Habari za asubuhi wana Jf ,kutokana na kuzimwa kwa mitambo ya analogia ,demand imekuwa kubwa sana huku mtaani.
Kama wakala nimepata wakat mgumu hapa ofisin kwangu wa kuuliziwa kama nina ving'amuzi vya star times,
kama mfanyabiashara mwenye lengo la kutanua biashara yangu ningeomba kama kuna Jf yoyote anayefahamu kuhusu jinsi ya kuwa wakala anipe muongozo wa jinsi na lipi la kufanya il niwe wakala wa star time.