Napenda kuwa blogger (Mubwa zaidi)

Kwanza Blog yako inahusika na taarifa za aina gani?

Pili, uendeshaji wa blog unahitaji kujitoa kweli kweli na siyo lelemama, maana unahitaji rasilimali kadhaa kama muda, watu, pesa, vifaa, nk.

Tatu, Baada ya kuwa na hivyo vitu fanya usajili, hii ni kulingana na aina ya content unayoitumia kuepusha kesi na serikali yako.

Nne, Baada ya kufanya hivyo anza andika barua kuielezea blog yako kwenda kwa makampuni unayopenda kuwatangazia matangazo, lakini usiache kuwatumia wafanyabiashara wadogo wa mtaani wanaweza kukupa starter payment ili kukuboost nauli ya kuzunguka kutafuta habari na matangazo.

Mwisho tafuta mtaalam akuingize kwenye Adsense advertisiment, hii inaweza kukupa pesa pia.


Mafanikio mema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom