Napenda niwe hivi; je, inawezekana?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,447
3,420
Inakuwaje Tanzanian Great thinkers

Napenda sana bwana Fene niwe very smart & intelligent katika utendaji wa mambo yangu kwa namna hii, je inawezekana? Kivip?

1. Napenda niwe mtu mwenye ushawishi (convincing power) lengo hasa iniwezeshe katika utekelezaji wa mambo yangu I mean in my businesses with my team one day

2. Napenda niwe mtu mwenye ku- notice vitu vingi kwa kiasi chake najua haiwezekani completely coz am human being

Hii itanisaidia kuepukana na machawa, wanafki, maadui, mitego na mengine mengi.

3. Napenda niwe kiongoz mzuri, I mean in my family, in my business je footsteps zip bora za kufuata

4. Napenda niwe mtu mwenye kukubalika, hii pia itanisaidia katika ku notice vitu vingi pia mambo yangu yataende, je kwa njia ipi ni bora naweza kwa kiasi chake kukubalika na jamii.

5. Napenda niwe na marafiki wengi without interaction

Kwa njia zipi bora kufikia level hizo unavyodhani

Home of great thinkers, I appreciate this platform since the first day I saw it.
 
Kama unatokea familia ya mlo mmoja wa kulenga

With all due respect pambana ndg yangu

Koneksheni,koneksheni, koneksheni.

Kuna watu wapo vyuo, form six etc.wapo wanasoma course maalumu, walishaahidiwa ukimaliza leta vyeti,,,, vp ww mtoto wa mkulima ulie na GPA ya juu unasaka ajira?
 
Kama unAtokea familia ya mlo mmoja wa kulenga ,,,,

With all due respect pambana ndg yangu !!!!!!!!!!



Koneksheni,koneksheni, koneksheni !!!

Kuna watu wapo vyuo, form six etc.wapo wanasoma course maalumu, walishaahidiwa ukimaliza leta vyeti,,,, vp ww mtoto wa mkulima ulie na GPA ya juu unasaka ajira??

Nimekuelewa Mkuu inafurahisha na kusikitisha kwa pamoja
 
Anza Kwa Kusoma Vitabu Hapa Jitoe (Self Discipline & Determination) Itakusaidia Kujijenga Na Kuwa Na Mitazamo Mingi.

Fatilia Mambo Yanayoendelea Duniani (Nchini & Nje) Mtu Mwenye Habari Ni Mtu Mwenye Maarifa.

Usijitenge Na Jamii Kuanzia Rika Lako Hadi La Juu Upatapo Nafasi Jumuika Nayo (Engagement)

Pia Kwenye Social Media Kama Hizi Pitia Majukwaa Yenye Kujenga Si Kila Muda Unawaza Ku-refresh/Entertain.

Committment Ndio Ngao Yako Kuwa Version Ya Yule Unayetaka.
 
Anza Kwa Kusoma Vitabu Hapa Jitoe (Self Discipline & Determination) Itakusaidia Kujijenga Na Kuwa Na Mitazamo Mingi.

Fatilia Mambo Yanayoendelea Duniani (Nchini & Nje) Mtu Mwenye Habari Ni Mtu Mwenye Maarifa.

Usijitenge Na Jamii Kuanzia Rika Lako Hadi La Juu Upatapo Nafasi Jumuika Nayo (Engagement)

Pia Kwenye Social Media Kama Hizi Pitia Majukwaa Yenye Kujenga Si Kila Muda Unawaza Ku-refresh/Entertain.

Committment Ndio Ngao Yako Kuwa Version Ya Yule Unayetaka.
Nimekupata vyema Mkuu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ok kwa ufupi, jaribu kua na knowledge ya vitu mbali mbali.

Wanasema knowledge is power kwasababu inakupa confidence, information muhimu,na kama marafiki unataka utapata sababu watakucheki wakiwa na matatizo yao uwashauri wayasolve vp.

So feed your brain na content muhimu.



Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewaa, umeeleweka

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ndio nani huyo, ngoja nimfuatilie naona umenipa muongozo

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
HUyo ni mwamba smart mfano hakuna. Kichwa kweli kwel. Hakuna jambo asilolijua.hakuna mtu asiyemfahma. Hakuna mtu mashuhur asiyezijua siri zake..He can capitalize on every one about thing he wants.. he can blackmail any president. He has sources in his payroll from every secrete organization even in the underworld. He runs a vast intelligence organization operating from every angle of the globe.

Yet

He was so friendly
So caring
A Good parent
The best care taker
Lovelly
He keeps promises

E Bwana yule mwamba ana kila sifaa nzuri.

TAfuta series inaitwa BLACKLIST
Screenshot_20240213_073354_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom