masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,396
- 19,356
- Thread starter
- #101
ushaur mzuriPendelea kufanya aerobic exercises,haya ni mazoezi ambayo wakati wa kufanya unaingiza hewa nyingi safi mwilini na kutoa hewa chafu nje na kutoka jasho jingi,mazoezi haya ni kama kukimbia,mchakamchaka,kucheza mpira,kuruka kamba e.t.c....achana na anaerobic exercises ambayo haya ni mazoezi unayofanya ukiwa ndani amboko oxygen ni ndogo kama vile kupiga chuma e.t.c hayana faida sana kwa afya kwani huwa hayaunguzi mafuta mwilini kwa wingi!