Napenda kupiga push up


Habari mkuu, binafsi nina uzito wa 82kg ni kitambi pia. Nahitaji kukata tumbo vile vile kujazia mikono. Nifanye mazoezi gani ?
 
Piga pushups masai dada, mwili haukomai ukishazoea mwili unajicondition.haukomai kama John Cena wala Batista. humwoni Bruce Lee mwili simple.
 
uzi wa long time waatu wana search tu
hahaha masai dada
 
Kimbia sana,kama kuna uwanja wa mpira maeneo ya karibu jaribu japo round 10 kwa siku
 
Tajiri Escobar wa genge la mihadarati alipendwa sana na jamii na sembuse wampe uraisi
 
"Jogging" the best one ever, opt this masaidada
 
Last edited by a moderator:
Kukimbia ndio zoezi zuri iwapo unataka kuwa fiti.Kukimbia kutakukinga na magonjwa kama shinikizo la damu ,kiharusi, kisukari na saratani.
Push up itakujenga tu misuri ya mikono na kifua lakini haitokukinga na maradhi.
Iwapo mazingira hayaruhusu kukimbia bora ureke kamba kwa dakika 20-30.
 
asante mkuu nitajitahidi ila hofu yangu ni mikono kukomaa maana ukiruka kamba joints za juu zinauma sana

usiwe na wasiwasi. Simple, mikono ikijaa unabadilisha genda
 
Push Ups ni shida aisee....i find it tuff kuliko kupiga chuma. Honestly kuna kipindi i used to do 70 to 80 non stop...like 2 years ago.

Ila saa hvi 30 tu hoi. Lol
 
hicho kichwa cha habari nilisoma vibaya nikaja fasta kweli kutoa ushauri.
 
Kuishi dar peke yake ni mazoezi, haina haja ya kwenda gym
 
Pendelea kufanya aerobic exercises,haya ni mazoezi ambayo wakati wa kufanya unaingiza hewa nyingi safi mwilini na kutoa hewa chafu nje na kutoka jasho jingi,mazoezi haya ni kama kukimbia,mchakamchaka,kucheza mpira,kuruka kamba e.t.c....achana na anaerobic exercises ambayo haya ni mazoezi unayofanya ukiwa ndani amboko oxygen ni ndogo kama vile kupiga chuma e.t.c hayana faida sana kwa afya kwani huwa hayaunguzi mafuta mwilini kwa wingi!
 
Push Ups ni shida aisee....i find it tuff kuliko kupiga chuma. Honestly kuna kipindi i used to do 70 to 80 non stop...like 2 years ago.

Ila saa hvi 30 tu hoi. Lol
push up ni zoezi kali sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…