Napenda kuoa msichana asiyezaa

Napenda kuoa msichana asiyezaa

Mkuu sidhani kama atajitokeza!!! Wanaume wanapenda michepuko wa hali hiyo ili wagonge tu bila kujali kubebesha mimba.
Ila kama una nia ya kuoa kweli... Mungu akutangulie
Wasipojitokeza, "Itakuwa sijapata msichana of my dream lkn pia hata yeye atakuwa amekosa mume ambaye angemfariji". I won't feel bad, life wil go on!
 
Wasipojitokeza, "Itakuwa sijapata msichana of my dream lkn pia hata yeye atakuwa amekosa mume ambaye angemfariji". I won't feel bad, life wil go on!
Mungu atakupa hitaji la moyo wako mkuu!
 
Lkn kaka huoni atajisikia vibaya cz we tyr una mtoto/watoto nje,yaani ungekua mfariji kweli kama ucngekua na mtt afu we uwe na uwezo lkn uamue uczae cz unampenda
Ujana una mengi mkuu
 
Nenda love connect ukajieleza utawapata.
 
Sipo nae. . .. !
The fact kwamba una mtoto tayari utamuumiza tu mdada wa watu. Angalau kama mama wa mtoto angekua katangulia mbele ya haki... Ila kama yupo hai na mna mawasiliano duuh! Anyway!!! Endelea na msako mkuu
 
Back
Top Bottom