Renegade
Platinum Member
- Mar 18, 2009
- 7,856
- 8,373
Afande usiogope gharama, zamani nilikuwa na mawazo kama yako ila rafiki yangu mmoja PADIRI alinikatalia.Unaweza kufanya sherehe ndogo tu.Ninapenda sana kufunga ndoa maana ni maagizo kutoka kwa Mungu baba ila sipendi kufanya sherehe naona gharama sana, sasa sijui itakuaje mchumba akitaka sherehe.