Napenda kuoa ila sipendi kufanya sherehe

Napenda kuoa ila sipendi kufanya sherehe

Ninapenda sana kufunga ndoa maana ni maagizo kutoka kwa Mungu baba ila sipendi kufanya sherehe naona gharama sana, sasa sijui itakuaje mchumba akitaka sherehe.
anataka sherehe kwan yeye ndo anaoa?kama anataka sherehe agramie yeye,Mimi binafsi spendi sherehe kabisa unafanya sherehe ya million kumi wakat huna hata kibanda cha matunda.
 
Hata mimi ninakaugonjwa ka kuchukia sherehe.
Mungu akijaalia nikiolewa napenda ndoa iwe simple sana hata kama tutaenda kwa Shekhe atufungishe then tunarudi home kusherehekea na familia naona sawa tu.
Sijui nina tatizo mana sio mpenzi wa sherehe na hata nikialikwa kuhudhuria ni issue.
Sio tatizo na hauko peke yako, sipendi hayo mambo daaaah!!
 
Hata mimi ninakaugonjwa ka kuchukia sherehe.
Mungu akijaalia nikiolewa napenda ndoa iwe simple sana hata kama tutaenda kwa Shekhe atufungishe then tunarudi home kusherehekea na familia naona sawa tu.
Sijui nina tatizo mana sio mpenzi wa sherehe na hata nikialikwa kuhudhuria ni issue.
Dah ungenifaa sana wewe mana nahisi tunaendana.
 
Yani hata mm sipendi sana masherehe
Sema hata ukipanga sherehe iwe ndogo lazima itakuwa kubwa.
Wat i planned ni kwamba. Nilishafunga ndoa church basi narudi home.

Tena napenda sana zile ndoa za jpili baada ya mahubiri then ndoa mnamaliza ibada mnarud home
 
Hata mimi ninakaugonjwa ka kuchukia sherehe.
Mungu akijaalia nikiolewa napenda ndoa iwe simple sana hata kama tutaenda kwa Shekhe atufungishe then tunarudi home kusherehekea na familia naona sawa tu.
Sijui nina tatizo mana sio mpenzi wa sherehe na hata nikialikwa kuhudhuria ni issue.
tupo pamoja sana sherehe kubwa baada ya miez mitatu mmeachana.
 
Na hawezi kukuelewa kweli
Best zake atawaringishia saa ngapi asipofanya sherehe??

Ila kama ana uchu wa kuolewa hata bila sherehe atashukuru hivyo hivyo
Kama anataka sherehe agramie yeye tuu
 
Hakuna cha sherehe wala nin, oa weka jiko lako ndani fullstop.
Haina kuremba, alaf vile vicenti vyako ulivyolimbikiza vya kuanzia kula ugal... Watakao sema mbahili waseme tu hakuna namna we kula bata na mwenzio
 
Back
Top Bottom