Napenda kuoa ila sina kipato

Napenda kuoa ila sina kipato

Achana na maisha ya geto, panga chumba oa. Akili itaenda resi kusaka mahela mara ten ten.fanya hivo ili mradi mwanamke awe amekuridhia.
 
kama huna hela, utaendelea kuita wake zetu shemegi tu.... na utakula kwa macho!
 
Uyu mtoa mada atakuwa ni yule Gogle kijana wa miaka 25 aliyetairiwa juzi juzi.

Nishajua uandishi wake
 
Last edited by a moderator:
Hata vitabu vya dini vinasema mwanaume atatunza familia mwanamke atajaza dunia means kazi yake ni kuzaa tu na kutunzwa na mwanaume
sasa mbona siku hizi wanawake ndio wanapanga idadi ya watoto, utasikia ooh mimi nataka watoto wawili tu wakati mume anataka watoto saba
 
sasa mbona siku hizi wanawake ndio wanapanga idadi ya watoto, utasikia ooh mimi nataka watoto wawili tu wakati mume anataka watoto saba

uzae watoto 7 una mkataba na Mungu wa kuwalea mpaka watakapoweza kujitegemea? Maisha yenyewe sikuhizi mafupi kama nini kisa cha kuwaachia watu mzigo wa kukulea watoto mwisho wa siku wanaishia kuwa wa mitaani, zaa 2 tu hata usipokuwepo leo au kesho inakuwa rahisi kwa utakaowaachia
 
Kama ambavyo unapokosa pesa na kulazimika kula kinachopatikana, basi ndivyo vivyo hivyo kama mifuko yako imekonda basi tafuta anayepatikana kwa levo yako na sio kutuambia kuwa kipato kinakukwamisha.

Ila kama unataka kwenda kula vya sea clff basi jikusanye kwanza...hakuna kizuri kinachokuja kirahisi....

Ndio maana hata kwenye jamii zingine za wanyama huwa kunakuwa na mtifuano wa kikwelikweli ndio dume lipate go ahead ya kupata demu.

La sivyo ujigeuze ng'ombe dume anayefugwa, kwa sababu naonaga huku mtaani wanapelekwa au wanaletewa demu hapohapo walipo.
 
uzae watoto 7 una mkataba na Mungu wa kuwalea mpaka watakapoweza kujitegemea? Maisha yenyewe sikuhizi mafupi kama nini kisa cha kuwaachia watu mzigo wa kukulea watoto mwisho wa siku wanaishia kuwa wa mitaani, zaa 2 tu hata usipokuwepo leo au kesho inakuwa rahisi kwa utakaowaachia

watoto wawili wachache sana, sitaenjoy aisee
 
Uyu mtoa mada atakuwa ni yule Gogle kijana wa miaka 25 aliyetairiwa juzi juzi.

Nishajua uandishi wake

Umejuaje broh hata mim yule jamaa ananikraga sana na viuzi vyake vya kutahriwa daily
 
Last edited by a moderator:
Uyu mtu ata abadilishe jina mara 100 nitamtambua tu wengine tuliwai somea kutambua uandishi wa mtu uyu mtu ni Gogle tu

hahahahah atakuwa ni yeye maana huyu nae ana matukio na visa vya kipuuzi vingiiii......... sekunde moja kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Unajua ktk ndoa mwanaume unatakiwa kuwa mtundu ktk mapenzi kuwa pesa,gari na nyumba siyo tija sasa cha ajabu yule ambaye hana pesa lkn ni mtundu kwenye mapenzi
Ndugu yangu hawatabiriki utafanya ufundi wote na bado watatoka
 
sio lazma uwe na pesa nyng kama unavyodhan ndio uoe!
wewe oa mwanamke mwenye malengo mazuri mtafute mali zenu kwa pamoja na mtafika mbali
 
Ndipo mnapokoesea wanawake wa siku hizi, ndoa ni kuongeza/ kukutanisha akili za watu wawili kupambana na maisha!! Watu wanaoana hawana kitu wanatafuta pamoja mpaka wanakuwa nacho, ndiyo maana ikasemwa 'penye mwanaume mwenye mafanikio basi kuna mwanamke nyuma yake!!'

Tatizo ninyi mnataka mwanaume aliyekwishafanikiwa, ndiyo maana mtaendelea kuwa watumwa milele

sijaongelea kipato nimesema awe anakitu anakifanya chochote sasa mtaoana hamna kazi alafu mkakope kwa jirani au mrudi kwa wazazi wawasaidie hakuna watu wanaoana hawanakitu hata vijijini wanalima kujiingizia kipato au angalau mmoja awe na kazi ili kumsaidia mwenzake.ingekuwa ivyo basi watu wangemaliza chuo tu waoane sijui mtaishije.

najua maisha ni kusaidiana embu usitafute kazi afu tafuta mwanamke ambae nae hajapata kazi uko ndani kutakalika
ungeelewa comment yangu usingetuzaraukiasi hicho
 
Back
Top Bottom