Napenda kuoa ila sina kipato

Napenda kuoa ila sina kipato

kuoa si lazima utoe direct payments..

kama umempenda binti wa mzee fulani, nenda ukubaliane na mzee mwenye mtoto, akupatie kazi ya kufanya ambayo itafikia kiwango cha mahari anachokitaka...

fanya kazi hiyo hata kama ni miaka mitano... haitojalisha idadi ya miaka kama kweli una mpango wa kuoa..

jifunze kutoka kwenye biblia... (mstari nimeusahahu kidogo..)

kuna mcha MUNGU mmoja nae alitamani kuoa binti wa tajiri mmoja, kwa vile alikuwa hana uwezo, alipewa kazi ya kuchunga kondoo kwa muda wa miaka saba ili aoe... kweli akafanya hivyo..

take this!
 
kume kama hunna kazi huko ndani mtagombana kila siku
Jinsi alivyo express...anaonekana kuoa ni mpaka uwe na hela nyingi sAna..ukiwa na hela kiasi na akili ya kutafuta tu maisha yanaenda
 
Ni kweli mapenzi ai ndoa hayaitaji mijihela mingi chamuhimu ni amani na upendo mengine mtatafuta pamoja. Ambapo sikubaliani nae ni kwamba wote hamna hela wala hamjui kesho ikoje alafu mnakubaliana kuishi pamoja huku sikujipa pressure
 
....mhh hapo maisha yanakuwa magumu....lakini hakuna mapenzi matamu kama yale ya kupigana maisha kwa pamoja na huku mkiwa na common goal....inakuwa bomba sana
 
Kweli kabisa
 
Ni kweli mapenzi ai ndoa hayaitaji mijihela mingi chamuhimu ni amani na upendo mengine mtatafuta pamoja. Ambapo sikubaliani nae ni kwamba wote hamna hela wala hamjui kesho ikoje alafu mnakubaliana kuishi pamoja huku sikujipa pressure

nadhani anamaanisha mwanamke mwenye kipato ajitokeze awe naye ili iwe kama balance kwake naye mpaka atakapo toka
 
wee unaweza kuona bila hata mia cha muhimu huyo unayemuoa aelewe hali halisi na mkubaliane kuwa na hali hiyo mkae pamoja muanze kujitafutie kwa vibarua vya hapa na pale baadddddae biashara ndogo ndogo mnaweza kuishi vizuri sana tena kuliko matajiri
 
Back
Top Bottom