Napenda kuoa ila sina kipato

Napenda kuoa ila sina kipato

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Wadau mimi nataka mwanamke wa kuoa lakini sina hela kabisa. Je mtu unaaweza kuoa wakati huna mshiko? Nifanyeje ili niweze kuoa?
 
nimekuwa nikisoma majarida mengi ya mapenzi na kuona kuwa mapenzi ni upofu na hayachagui hali ya mtu. najishangaa kwa nini mimi mwanamke mzuri hajitokez kunipenda bure bure
 
Sasa utamtunza vp huyo mwanamke? manake mwanamke matunzo
 
Kuoa bila kipato ni kujipa matatizo tu!Tafuta kwanza hela
 
Utaendelea kuona wenzio wakiwowa tafuta kazi kwanza kijana mapenzi yakupigiaba miyayo hayapo
 
mkuu we oa tu...akili itakukaa sawa na utakuwa na kipato cha kukutosha na familia yako!
 
Wadau mimi nataka mwanamke wa kuoa lakini sina hela kabisa. Je mtu unaaweza kuoa wakati huna mshiko? Nifanyeje ili niweze kuoa?

Kaka, ndoa za siku hizi majanga!! Huna milioni kadhaa hufungi harusi. Ila ukipata familia itakayokubwali uoe simple bila masherehe ya ajabu ajabu kila kitu kinawezekana kaka.

Pia, ndoa si kwamba ni kuongeza matumizi bali unaongeza mtu wa kushare nae mambo yako mkajadiliana na kupata suluhu. Unachokula ndicho atakachokula ishu ya kuleta watoto hiyo ni mipangilio ndani ya ndoa, oa kaka!!

Tafuta mwanamke mwenye busara, akiingia kwenye familia yako anakuja kimapambano kusaidiana na wewe dhidi ya hiyo hali ukiendelea kukaa peke yako hutapata challenge
 
Utaendelea kuona wenzio wakiwowa tafuta kazi kwanza kijana mapenzi yakupigiaba miyayo hayapo

Ndipo mnapokoesea wanawake wa siku hizi, ndoa ni kuongeza/ kukutanisha akili za watu wawili kupambana na maisha!! Watu wanaoana hawana kitu wanatafuta pamoja mpaka wanakuwa nacho, ndiyo maana ikasemwa 'penye mwanaume mwenye mafanikio basi kuna mwanamke nyuma yake!!'

Tatizo ninyi mnataka mwanaume aliyekwishafanikiwa, ndiyo maana mtaendelea kuwa watumwa milele
 
mkuu umemlenga maeneo nyeti!.....safi sana!
 
kumbe kipato unacho sasa mbona umesema huna, au ulikuwa una maanisha nini uliposema huna hela kabisa?

namaanisha nitakayemuowa ajitume kufanya kazi walau ndogo ndogo ili apate ya mahitaji ya familia
 
Kwani waliooa wote wana kipato mdogo wangu?
Kuna maswali mengi ya kujibu kama Kipato ni nini? je ulitaka upate kiasi gani ndo ukubali kwamba una kipato? unamtaka mwanamke gani? kama mwenyewe ushajiona mnyonge huna kipato je utakayemwongoza? Sasa nikujib, kuoan hadi uwe na kipato ni fikra tu za mtu mmoja mmoja, kila mtu ana kipato hata omba omba ila tunapishana kiasi. Sasa kama wewe unataka kumwoa mwanamke uweze kumtimizia mahitaji yake yote basi utazeeka kabla hujaoa. Mwanamke ni kama kinyonga, anabadilika kutokana na kipato chako. Ukiwa na kipato kidogo mtaishi, ukiwa na kipato kikubwa mnaishi ni wewe tu jinsi ya kumweleza ukweli na akuamin.
 
Jipange kwanza,unapoongeza mtu ndani ya nyumba unatakiwa kujitosheleza kwa mahitaji muhimu ie Malazi,chakula,mavazi na hela ya kupambana na magonjwa,,,,,,,,,
 
Ndipo mnapokoesea wanawake wa siku hizi, ndoa ni kuongeza/ kukutanisha akili za watu wawili kupambana na maisha!! Watu wanaoana hawana kitu wanatafuta pamoja mpaka wanakuwa nacho, ndiyo maana ikasemwa 'penye mwanaume mwenye mafanikio basi kuna mwanamke nyuma yake!!'

Tatizo ninyi mnataka mwanaume aliyekwishafanikiwa, ndiyo maana mtaendelea kuwa watumwa milele

Mkuu nashukuru kwa comment zako,zna ujumbe mzito!
 
Ndipo mnapokoesea wanawake wa siku hizi, ndoa ni kuongeza/ kukutanisha akili za watu wawili kupambana na maisha!! Watu wanaoana hawana kitu wanatafuta pamoja mpaka wanakuwa nacho, ndiyo maana ikasemwa 'penye mwanaume mwenye mafanikio basi kuna mwanamke nyuma yake!!'

Tatizo ninyi mnataka mwanaume aliyekwishafanikiwa, ndiyo maana mtaendelea kuwa watumwa milele

Kiongozi una busara sana.........nimependa michango yako katika hili.
 
Back
Top Bottom