Kwahyo ndio umeona na wewe uandae Uzi?Wadau..
Kiukweli mpaka najihisi nina tatizo sasa maana kila ukifika mda wa kula hamna chakula kingine ninachowaza zaidi ya Ugali.
Imefika hatua nikila wali kwa siku moja tu, naanza kujihisi kama nmefululiza mwezi mzima.
Nikifikiria ndizi, viazi, wali, chipsi yani nakuwa sina hamu navyo kabisa mwisho wa siku najikuta naangukia kula ugali. Hapa nlipo nina wiki ya pili nakula Ugali tu usiku na mchana..
Dah..
Wadau..

Kwahyo ndio umeona na wewe uandae Uzi?
Jf imekuaje sikuhizi
Hili nalo la kuanzishia thread?
Yaani umekaaa ukafikira thread ya kuanzisha ukaona hii ndio uianzishe?
Mbona mie Ugali ndio chakula changu kikuu na hakuna la ajabu lolote hapo!
kuna vitu hivi 2 umeamua au uchumi umeamua
hujui kuwa ugali sikuhizi ni Luxcury food?kuna vitu hivi 2 umeamua au uchumi umeamua
Kama bado uko kwa wazazi hayo utayajua mkuu?hujui kuwa ugali sikuhizi ni Luxcury food?
Sembe kg tsh 2000
Nibora nimwambie tu akimind akielewa sawaHatuwezi tukawa sawa kifikra na kimawazo, Utofauti wetu ndio unaoifanya jamiiforums iwe tofauti.
Kuna akili za kila namna humu, 'werevu' wakiona wakiona thread haijawavutia wana -ignore na kuangalia thread zingine.
Au kwa sababu imeletwa na mtu asiye maarufu humu?
Thread hujaipenda unapita, yeye mwenyewe atajua kuwa alichokileta hakijapokelewa kwa 'shwange' kutokana na idadi ya wachangiaji.
Tujifunze kupuuzia vitu..