Napenda kula Ugali balaa!

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
24,756
33,101
Wadau..

Kiukweli mpaka najihisi nina tatizo sasa maana kila ukifika mda wa kula hamna chakula kingine ninachowaza zaidi ya Ugali.

Imefika hatua nikila wali kwa siku moja tu, naanza kujihisi kama nmefululiza mwezi mzima.

Nikifikiria ndizi, viazi, wali, chipsi yani nakuwa sina hamu navyo kabisa mwisho wa siku najikuta naangukia kula ugali. Hapa nlipo nina wiki ya pili nakula Ugali tu usiku na mchana..

Dah..
 
Kwahyo ndio umeona na wewe uandae Uzi?
Jf imekuaje sikuhizi
 
Kwahiyo shida ipoipo wapi hapo?

Mimi mwenyewe napenda sana kula ugali maziwa mtindi na nyama choma.

Wadau..

Kiukweli mpaka najihisi nina tatizo sasa maana kila ukifika mda wa kula hamna chakula kingine ninachowaza zaidi ya Ugali.

Imefika hatua nikila wali kwa siku moja tu, naanza kujihisi kama nmefululiza mwezi mzima.

Nikifikiria ndizi, viazi, wali, chipsi yani nakuwa sina hamu navyo kabisa mwisho wa siku najikuta naangukia kula ugali. Hapa nlipo nina wiki ya pili nakula Ugali tu usiku na mchana..

Dah..
 
Hili nalo la kuanzishia thread?

Yaani umekaaa ukafikira thread ya kuanzisha ukaona hii ndio uianzishe?

Mbona mie Ugali ndio chakula changu kikuu na hakuna la ajabu lolote hapo!
 
Kwahyo ndio umeona na wewe uandae Uzi?
Jf imekuaje sikuhizi
Hili nalo la kuanzishia thread?

Yaani umekaaa ukafikira thread ya kuanzisha ukaona hii ndio uianzishe?

Mbona mie Ugali ndio chakula changu kikuu na hakuna la ajabu lolote hapo!

Hatuwezi tukawa sawa kifikra na kimawazo, Utofauti wetu ndio unaoifanya jamiiforums iwe tofauti.

Kuna akili za kila namna humu, 'werevu' wakiona wakiona thread haijawavutia wana -ignore na kuangalia thread zingine.

Au kwa sababu imeletwa na mtu asiye maarufu humu?

Thread hujaipenda unapita, yeye mwenyewe atajua kuwa alichokileta hakijapokelewa kwa 'shwange' kutokana na idadi ya wachangiaji.

Tujifunze kupuuzia vitu..
 
Nibora nimwambie tu akimind akielewa sawa
 
EE kitu ugali man.......mboga yoyote....ugali kama kawa....hao wa chips na novida hawawezi hii kitu......................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom