Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,486
- 35,147
Wadau..
Kiukweli mpaka najihisi nina tatizo sasa maana kila ukifika mda wa kula hamna chakula kingine ninachowaza zaidi ya Ugali.
Imefika hatua nikila wali kwa siku moja tu, naanza kujihisi kama nmefululiza mwezi mzima.
Nikifikiria ndizi, viazi, wali, chipsi yani nakuwa sina hamu navyo kabisa mwisho wa siku najikuta naangukia kula ugali. Hapa nlipo nina wiki ya pili nakula Ugali tu usiku na mchana..
Dah..