Napenda kujua idadi ya wabunge, madiwani, mawaziri Zanzibar

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Habari zenu wana Jf,

Kwa kuangalia haraka haraka nimeona Zanzibar ina watu kama milioni hivi,idadi hii ya watu ukilinganisha na idadi ya watu katika manispaa ya Temeke ni ndogo, pia nikaangalia Zanzibar ina wabunge wa majimbo zaidi ya 50.

Wabunge wawakilishi wa bara, madiwani, makamu wa rais wawili, na baraza la mawaziri, ukipiga hesabu mishahara, posho na fedha nyingine zinazopigwa kiufisadi na maofisa wa serikali.Utakuta ni pesa nyingi sana,na wananchi wa kule ni masikini wa kutupwa, sasa hii pesa si ingetumika kuleta maendeleo Zanzibar si ingefika mbali sana?

Napenda pia mnitajie idadi ya mawaziri, wabunge na madiwani
 
Back
Top Bottom