Napenda Kufahamu Wana JF

Huo uzi wa ku rest in pieces upo wapi? Utumike kama ushahidi kumrestisha in peace hapa jf!

Watu waliutafuta mpaka basi labda Tyta anao
 
Last edited by a moderator:
Nataka kumfahamu huyu mwana jf Dinazarde ni nani? alizaliwa lini na wapi? alisoma shule/chuo gani? wapi?marafiki zake ni nani? ameolewa? kama ndio mme wake ni nani? anafanya kazi wapi? ana umri gani?

Mkuu mbona una maswali kama mtu wa system?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…