Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Kuna uzi nimeuona wa kuwakumbuka waliofariki mle ndan ya uzi kuna post inasema kua Gogle amefariki pia kuna uzi ulitolewa wa kuhusu kifo chake kua alizikwa kisutu
Mwenye kujua atuambie maana wengine hatufahamu kama ni kweli inasikitisha sana namuomba utafiti pia na wengine mnaojua
Tutammiss sana Gogle
ID ya Gogle ilituletea thread humu na mtu alijitambulisha kua yeye sio Gogle tunayemjua ila ni mjomba wake na alituletea taarifa ya msiba wa Gogle. Mimi niliuliza umejuaje password yake? Nikajibiwa ukitumia application ya jf haina haja yakuingiza password kila unapoingia, kitu ambacho ni kweli ata mimi natumia app kwaio mtu akishika simu yngu anaweza kuingia jf kwa ID yngu

huku ni kuchezea akili za watu
Kuna member mmoja alipofariki nakumbuka hadi picha yake halisi tuliletewa (naomba nisijekufanyiwa mimi tafadhali)