Napenda girls with blue eyes

Napenda girls with blue eyes

Tuyatoe wapi sie, macho yetu yashakua mekundu!
 
Kuna katoto nilikaona kana macho ya blue, yaani nilistuka. Ila nahisi ni kagonjwa maana kalinitisha.

Kuna shosti mmoja wa rangi yangu alikuwa anapenda kweli brown eyes, basi akalazimisha kwa kuweka contact lenses za brown halafu contacts zenyewe alikuwa hajazizoea basi ni michozi tu, ikawa ni kulia bila majonzi kwa kwenda mbele.
 
Ukikutana na blue eyes mweusi sii utakimbia...

Any ways, wanaweza nunua contact lenses za blue wakabandika kwenye mboni zoa... Hata ulaya wengi wanafanya hivyo...

Cc: mahondaw
 
Kuna shosti mmoja wa rangi yangu alikuwa anapenda kweli brown eyes, basi akalazimisha kwa kuweka contact lenses za brown halafu contacts zenyewe alikuwa hajazizoea basi ni michozi tu, ikawa ni kulia bila majonzi kwa kwenda mbele.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mateso bila chuki.
 
Wahurumieni wanawake mnataka kuwaingiza kwenye janga lingine tena kwa sasa wako bize na wowowoo tena lije la blue eyes[/QUOTEhahhaahhahahaha mkuuu usijal mkuu mwanamke kama mgahawa wew agiza chochote kile utapata kesho atakuta mtaa mzima una blue eyes
 
Kwa sasa hoja yetu wanaume ni chura sasa cjui wewe umetokea WAP?
Huyu anataka kututoa kwenye mada.

We mleta mada Kama umetumwa na wanawake flat screen kawambie msimamo ni ule ule tunaangalia mavyura tu
Mbinu yako tumeibaini warudishie hela zao waliokutuma
 
Kwa sasa hoja yetu wanaume ni chura sasa cjui wewe umetokea WAP?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom