Happy new year in advanceMbadala wa Sumbai bado nipo na ninaishi!
Happy new year in advanceMbadala wa Sumbai bado nipo na ninaishi!
Safi sana msimamo wetu ni uleule hapo waombe poo!Huyu anataka kututoa kwenye mada.
We mleta mada Kama umetumwa na wanawake flat screen kawambie msimamo ni ule ule tunaangalia mavyura tu
Mbinu yako tumeibaini warudishie hela zao waliokutuma
Simaanishi hawana vyura, ila point tunayosimamia ni uwepo wa chura then Kama muhusika atakua na blue eyes basi itakua ni sifa ya nyongeza.Wenye blue eyes wao hawana vyura?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]