Napenda girls with blue eyes

Napenda girls with blue eyes

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,144
Reaction score
2,397
5933c0f17fd8cac969e03a1201e0d88d.jpg

6f194d0beeae17cc2ec6ba231b24a060.jpg

6ced24254334ab1dc5502cf5c94ee54c.jpg
 
Itakulazimu uende ughaibuni mana bongo wachache competition itakuwa kubwa hope hauko peke yako
 
hivi unasema mambo ya blue eyes jf, huku uswahilini hamna mambo hayo
 
Itabidi uvuke mipaka mkuu, kwetu unaweza fikia wa brown eyes..
 
Bongo wapo kweli!?
yah wapo kuna mdada mmoja anaishi ILALA amepanga na mumewe kwa mamaangu mdogo ana blue eyes ana mwanae wa kike miaka 5 naye ana blue eyes pia kachukua kwa mamaake
ila nilipata story bibi wa huyo mdada enzi hizo za kikoloni alizaa na muingereza but wao ni waswahiri pure ingawa wana ngozi ya maji ya kunde
 
angalia mkuubinadamu wenye blue eyes inasemekana ni zao la alliens na binadamu
 
Back
Top Bottom