hivyo... waonaje tukajaribu kupractice miss chagga....!
ingkuwa closed relationship hapo sawa
Hivi hawa wanunuzi wanaitwaje manake wanawake wana majina yao je hawa huwa wanaitwaje.Ok kwa hiyo kumbe wanaojiuza wateja wao ni wanaume?
Napenda aina hii ya mahusiano ambayo ni ya muda na haina masharti (A relationship that has no conditions or contractual requirements), ambapo wapenzi wawili wanakutana kwa muda na kuridhishana nafsi zao.
(Where two people decide to engage in a sexual relationship that has no ties or expectation with regards to finances, exclusivity or romance. Literally, there are no strings binding the two together)
Baadhi ya Faida za mahusiano yasiyo na mkataba
1. Makubaliano ni kulipa, kupata huduma na kusepa
2. Hakuna bla bla na kupotezeana muda
3. Hakuna kupandishana presha, sukari au magonjwa ya moyo kutokana na wivu
4. Hakuna uwajibikaji wa nyumba ndogo
5. Hakuna kupigana mizinga
6. Hakuna risk ya magonjwa ya ngono kwa sababu hakuna kuzoeana na kufikia uamuzi wa kuacha kutumia zana
Mwana JF, kuna faida nyingi ambazo sijazitaja na yeyote anaweza kuongeza. Au kwa wale mnaopinga aina hii ya mahusiano mnasemaje?
tapata madada poa....hao ndo no string attached
Hii ni solution ya kushamiri kwa nyumba ndogo ambazo zinaua ndoa linmmmhhh tabia chafu hiyo thats means u wil neva stay with ur partner on da same house?ndio maana kuna ongezeko la senior bachelors,hata kuoa itakuwa shida au ndio nyie msiotulia kwenye ndoa zenu unamuona mkeo kero
Of course lazima akuambie from the beginning, kwamba nature ya mahusiano yenu itakuwa "no strings attached" badiebeyInakuwaga okay kama both parties agree from the beggining...
Veryyyyy painful kama utaexpect 'going concern' na partner wako wakati ye alikuwa anapita tu na hakukuambia from the start...
hatumzodoi hayo unayosema wewe yapo ukitoa vipengele alivoeka number5,6 na 1hakuna cha madada poa........
mnamzodoa tu mleta mada , ila hayo mahusiano ya hivyo yapo mengi sana mbona.
Na mahusiano yako na Mungu hapo unayaweka wapi?
sio mazuri