Nape: Watanzania wana Imani isiyo terereka na ilani ya Kijani

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Chama cha mapinduzi kimezidi kufurahishwa na Imani kubwa walio nayo Watanzania juu ya Ilani ya Kijani ambayo ndio msingi Mkuu wa utawala na Maendeleo ya Taifa la Tanzania. Kuendelea kustawisha Imani hiyo na kuifanya iwe imani na matendo Vuguvugu la mabadiliko ya kijani litazinduliwa hivi karibuni na kuzima ndoto za wajanja wachache kutoka .... mwa Tanzania wanaoneza propaganda za mabadiliko yasiyo na tija.

Naipenda Tanzania, Naipenda Ilani ya Kijani
 
Lile vuguvugu la kuwapinga viongozi wapya wa uvccm limefia wapi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kauli mbiu yetu kila ccm akipita tunaimba "wezi hao"x10. Munawaibia watu halafu mnajifanya mnapendwa.
 
ni kweli mkuu kufa kazi kweli kweli unakuta mtu anapanga mikakati ya miaka kumi ijayo wakati hata jioni ya siku hiyo ni ngumu kwake kuiona
 
HIyo kauli ya kijana mimi nahisi unawahusu watoto wa magamba pamoja na magamba yenyewe,
kama vile Rizi1, January M.a.k.a.m.b.a, N.a.p.e na wengineo.
 
Hata usafirishaji wa pembe za ndovu na Twiga ina elekea ni moja ya mambo yaliyomo kwenye ilani ya kijani! Na wananchi wanaonesha kufurahia ndio maana hawafanyi kitu!

Chama cha mapinduzi kimezidi kufurahishwa na Imani kubwa walio nayo Watanzania juu ya Ilani ya Kijani ambayo ndio msingi Mkuu wa utawala na Maendeleo ya Taifa la Tanzania. Kuendelea kustawisha Imani hiyo na kuifanya iwe imani na matendo Vuguvugu la mabadiliko ya kijani litazinduliwa hivi karibuni na kuzima ndoto za wajanja wachache kutoka .... mwa Tanzania wanaoneza propaganda za mabadiliko yasiyo na tija.

Naipenda Tanzania, Naipenda Ilani ya Kijani
 
Hivi mtu unaweza ukawa na imani na mwizi,fisadi au mla rushwa? Kama watu wamewaamini wezi basi dunia imegeuka! Na ni maajab.Ni kichaa tu anayeweza kumwamini mwizi na kumfungulia mlango ili amwibie
 
Huyo ajui anachoongea kuwa na huyo jangili kinana anaona ndio mtaji kila atakakopita itabidi tumuuleze usalama wa tembo vipi?na hao wateka meli wa somalia.
 
Vuguvugu la mabadiliko ya kijani" VMK hii nayo ni kali kweli kweli maana kwa sasa kila kukicha ni kauli mbiu zisizo na mashiko kwa maisha ya Mtanzania. Kwa CCM hatuitaji kauli mbiu hizi za kitoto kwani wanayo serikali ( Dola) hivyo ni kutekeleza tu waliyohaidi ktk ilani yao ya uchaguzi 2010. Hizi kauli mbiu mara leo Vua gamba, mara njoka lenye ndimi mbili au hii ya leo VMK ni mbembe za kuonyesha kuwa wako hai kumbe ndo kifo cha mtu mzima. Baada ya kuona kuwa waliyoyahaidi uwezekana wa kuyatimiza ni ndoto za Halinacha inabidi waanze mbembwe. Haina haja ya kuweweseka na mapambia au kauli ambazo zinaonyesha maneno matamu yasiyokuwa na matunda kwa watanzania, na badala yake ni timizieni ( kutenda) ili mwisho wa siku kama alivyoseka rais Mstaafu A Karume " we shall meet in December"maana yake mambo yote ni 2015 kwenye sanduku la kura.Watanzania Kila mmoja anakumbuka kabla ya kuanza ile vita ya nchi za Magharibi na Iraq watawala wale wa Iraq walivyokuwa wanajipa matumaini , ohoo mara makaburi ya wamarekani yatakuwa kandahari na pia majigambo ya serikali ya Gaddaf kabla ya vita na nchi za Magharibi ktk kuwasaidia waasi wa Libya tuliona majigambo na tambo hadi dakika ya mwisho.Lakini wapi kifo kikifika kimefika ( change is inevitable,any acts against peoples' will ni sawa na kupiga ngumi ukuta).
Ndugu yangu mtu mzima akikaribia kufa uonyesha matumaini kwa wauguzaji kiasi hata cha baadhi ya wauguzaji kuaga ili kuendelea na shughuli za kila siku huku wakijiaminisha kuwa mgonjwa kapona, Lakini wanakujashangazwa wanapopigiwa simu kuwa mgojwa amefariki.
Kwa Kifupi ugojwa unaokikabili chama hiki kizee ( CCM) ni ugojwa ambao haukiachi salama ( CCM HAIPONI ) ni swala la muda tu hata kama wakija na slogan za aina gani muda umeshafika ( CCM ) kufa si option tena bali a must.
 
:majani7::majani7:Wewe kazi yako ni kuiga tu,kila kinachoanzishwa na cdm wewe unaiga. Sasa hivi ndio utafeli zaidi maana kujivua gamba ulifeli wenzio chadema wanatakata:majani7::majani7:
 
Chama cha mapinduzi kimezidi kufurahishwa na Imani kubwa walio nayo Watanzania juu ya Ilani ya Kijani ambayo ndio msingi Mkuu wa utawala na Maendeleo ya Taifa la Tanzania. Kuendelea kustawisha Imani hiyo na kuifanya iwe imani na matendo Vuguvugu la mabadiliko ya kijani litazinduliwa hivi karibuni na kuzima ndoto za wajanja wachache kutoka .... mwa Tanzania wanaoneza propaganda za mabadiliko yasiyo na tija.

Naipenda Tanzania, Naipenda Ilani ya Kijani

Upuuzi!
Chama tawala vuguvugu la nini?
Wananchi wanataka Maendeleo

Au ndio kila kitu copy and paste from Chadema!

Mwaka huu tutaona mengi ya ajabu!
Naona sasa hiyo itakuwa ni matching for gasping - M4G
 
Hapa nape anazungumzia hii kitu
african-elephants-ivory-tusks-615.jpg
 
miaka 51 ya umasikini, ujinga,maradhi, mporomoko wa elimu na maisha duni huku wazee wa ilani ya kijani wakitajirika kwa ufisadi
 
Itisheni chaguzi Sumbawanga, Igunga na Arusha tuone turning ya wananchi badala ya longolongo hapa jukwaani.
 
Back
Top Bottom