Kimilidzo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 1,346
- 613
Baada ya kuangalia uchambuzi wa kitoto wa katibu mwenezi wa moja ya vyama vikongwe kabisa barani Afrika kuhusu bajeti mbadala ya upinzani, na baada ya kugundua kuwa hajui kwanini mabunge ya jumuia ya madola yanatoa nafasi kwa wapinzani kuja na bajeti mbadala na sio kuja na bajeti ya kutekeleza ahadi za kampeni nimelazimika kuwaomba wadau tujadili kuhusu huyu jamaa kama angekuwa mbunge wa ubunge. Wana ubungo ikibidi muwe mstari wa mbele kuchangia.....
Nape alipoitosa CCJ na kutaka kujiunga na CDM aliwapa masharti ya kupewa nafasi ya kugombea ubungo badala ya Mnyika, CDM wakamtosa. Kama hiyo haitoshi akachukua fomu kwa wazee wa magamba kugombea ubungo hiyo hiyo akagalagazwa na yule mama. Hoja yangu ni je kama Nape angekuwa mbunge wa ubungo, na Mnyika alivyo mbunge wa ubunge sasa, nani anamfunika mwenzie katika suala zima la uchambuzi wa hoja na kuweza kuongoza wananchi??? Huenda Nape ana vitu fulani vya ndani sisi hatuvijui itakuwa poa tukijuzwa, so do Mnyika..,