Nape Vs Mnyika; Nani zaidi?

Nape Vs Mnyika; Nani zaidi?

Ndugu yangu naomba kwanza umtake radhi mbunge wetu mh J.John Mnyika kwa kumlinganisha na Nape kwani ni sawa na kuifananisha BUS na BAJAJI
 
mama yangu nakufa sasa hivi yani naona kama umetia kinyesi kwenye maziwa khaaaa!!! Nape vs mnyika chonde chonde mtoa mada tafadhari mtafute myika kwa udi na uvumba UMUOMBE RADHI kwa kujaribu kumfananisha na dekio la chumba cha majeruhi
 
Back
Top Bottom