Mkuu kama wewe ni mtanzania unaweza kufahamu wazi kuwa wanasiasa waliowengi wakisema hili hawamaanishi wanalolisema, so kujivua gamba ni kuwageresha tu wananchi. hakuna kitakachofanyika na kitakachobadilika.
........mmm yetu macho, Nape yeye ni kisemeo tu, nilichojifunza ni kwamba JK tayari ameshaanza kuwatosa marafiki zake ambao hakukutana nao barabarani (Luhanjo na Jairo), angalia taarifa ile ya bunge iliyowaacha uchi, nahisi roho kakomaa sasa, anayefuata ni Lowassa,. du, Lowassa unakubali hiv hiv!!!!!?Je nini matokeo ya mnyukano kati ya LOWASSA na NAPE katika chama cha magamba? je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama
.........haya ndiyo maamuzi magumu, maamuzi ya mwanaume.... simamia msimamao wako, kama noma na iwe nomaKauli ya lowassa akimtumia ujumbe mwita gachuma
Hakuna mwenye uwezo wa kunitoa CCM iwe mwenyekiti au ndege wake, na kama wakileta mchezo basi mambo yataisha
Hivi mwananchi wa kawaida ana uwezo wa kumzuia EL asiwe prezidaa