kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 497
wewe ulaaniwe kwa kuamini kwako kuwa Lowasa alifuata nguvu za giza Nigeria,una laana kwa Mungu wewe,hivi kweli Pasta wa Nigeria alipokwenda Lowasa ni nguvu za giza,tubu kabla hujapigwa na ghadhabu ya Mungu kwa kiburi chako na kukufuru,Lowasa atawashangaza wengi na hamtaaminiPoor analysis. Nani hajui kwamba wengi wa wabunge wa CCM walikuwa-sponsored na Lowassa? Kushangiliwa hakumaanishi chochote zaidi ya wajibu wa wapambe kwa master wao. Mwisho wa yote maamuzi ya chama hayachukuliwi bungeni, ni kwenye vikao vya chama ambavyo tayari vimeshaamua kwamba yeye na wenzake wapotee. Wewe unashangaa yeye kutawala bunge, mbona alipomuondoa Sitta na kujigawia kamati za bunge wote tulijua kwamba vikaragosi wale walikuwa wake? In this contest, losser ni Lowassa na yeye anajua na ndiyo maana anahangaika hata kufikia kufanya outsourcing ya nguvu za giza kutoka Nigeria. Maji ya shingo!
kumbuka nape hasimami km nape anasimama km chama mnamuandama bure kwa ufnyu wenu wa mawazo
Lowasa will ultimately go.
The only survivor ya Nape ni kuacha kiherehere na visasi visivyo na maana,Hebu angalieni ufisadi unaofanywa na watu walio karibu na dola,lakini kwenye majukwaa wanamhubiri Lowasa ndiyo fisadi,at the end of a day Nape atajkuta ameachwa peke yake na kujimaliza angali na umri mdogo sana,ikiwa wanachikifanya wao ni wasafi kabisa hakika watafanikiwa lakini kama kuna madudu yao na wao wameyaficha hakika Mungu atawaumbua kwa kuwa ni unafiki mkubwa sana.by the way mimi kwangu Lowwasa ni kiongozi shupavu pamoja na mapungufu kama binadamu wengine
JK NDO ANAWAUZA WOTE,akikutana na Nape anamwambia kijana endelea mpaka kieleweke,====Akikutana na swaiba Lowassa anamwambia nachana na vuvuzela la nape we jari mamabo yako tupo pamoja.
Nashawishika kuamini CCM hawataweza kumuondoa Mmasai Lowassa ndani ya chama.Ninaamini Mh.Lowassa ana nguvu kubwa ndani ya chama kuliko hata Mwenyekiti hasa inapokuja katika NEC. Hivyo sioni dalili ya Lowassa kung'oka come September na hivyo hivyo sioni kitakachozuia Lowassa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM mwaka 2015. kwa haya naweza kusema kwa uhakika na kujiamini na kwamba sitameza maneno yangu hata kwa dawa![/QUOTE
Harakati za kisiasa ndani ya chama zimekigawa chama na sasa wamefika wakati wanataka kutoa wanachama kafara ili kutaka kuokoa chama na hapa ndipo panafika wakati watu wameamua ni heri kumtoa kafara mwenyekiti kuokoa chama
<br />wewe ulaaniwe kwa kuamini kwako kuwa Lowasa alifuata nguvu za giza Nigeria,una laana kwa Mungu wewe,hivi kweli Pasta wa Nigeria alipokwenda Lowasa ni nguvu za giza,tubu kabla hujapigwa na ghadhabu ya Mungu kwa kiburi chako na kukufuru,Lowasa atawashangaza wengi na hamtaamini