Ukweli hapa ni usanii hakuna wakuthubutu kuwafukuza hao three guys mtikisiko ndani ya chama ni mkubwa sana endapo watafanya hivyo!
Lowasa oyeeeeeeeeeeeeee
huyu bwana na nyerere hawaogopi wala kuwababaikia eti wazungu.........Mwalimu alimpa mzungu 24........baada ya kusema serikali ya tanzania ipo mfukoni mwake......... Lowassa kweli ana uwezo huo pia...We want leaders with balls! Where is Mubarak today with his rhetoric over the Nile River water rights? Shinyanga, Nzega na Monduli kamwe hawatamsahau.
Nadhani huu wakati mwafaka kwa NAPE kujiondoa katika chama cha CCM na kujichimbia kaburi,sijui ni nani alimdaganya apambane na CAPITALIST LOWASSA NA WENZAKE WAWILI,kwa tukio la jana LOWASSA kushangiliwa kwa nguvu wakati akichangia hotuba ya waziri mkuu ilionyesha ni jinsi gani mtandao wake ulivyo nanguvu ndani ya wabunge wa CCM na ndiyo ule usemi wa kuwa asilimia 90% ya wabunge wa CCM Anawamiliki yeye jana ulidhihirisha kwa uma,NAPE anawakati mngumu sana.
sasa si mngoje siku 90 ziishe ndio
mtoe tathmini zenu?!
sasa si mngoje siku 90 ziishe ndio
mtoe tathmini zenu?!
za nini tena?tunamwombea sana,nadhani na LOWASSA anamwombea maana siku hizi kaokoka naenda hadi kwa tb joshua nigeria.sema tunoje september si ndo mwisho wa wanaohusika na UFISADI?yule dogo ana siku 11
mnyukano au kunyukwa?je nini matokeo ya mnyukano kati ya lowassa na nape katika chama cha magamba? Je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama
mnyukano au kunyukwa?
wewe ulaaniwe kwa kuamini kwako kuwa Lowasa alifuata nguvu za giza Nigeria,una laana kwa Mungu wewe,hivi kweli Poasto wa Nigeria alipokwenda Lowasa ni nguvu za giza,tubu kabla hujapigwa na ghadhabu ya Mungu kwa kiburi chako na kukufuru,Lowasa atawashangaza wengi na hamtaaminiPoor analysis. Nani hajui kwamba wengi wa wabunge wa CCM walikuwa-sponsored na Lowassa? Kushangiliwa hakumaanishi chochote zaidi ya wajibu wa wapambe kwa master wao. Mwisho wa yote maamuzi ya chama hayachukuliwi bungeni, ni kwenye vikao vya chama ambavyo tayari vimeshaamua kwamba yeye na wenzake wapotee. Wewe unashangaa yeye kutawala bunge, mbona alipomuondoa Sitta na kujigawia kamati za bunge wote tulijua kwamba vikaragosi wale walikuwa wake? In this contest, losser ni Lowassa na yeye anajua na ndiyo maana anahangaika hata kufikia kufanya outsourcing ya nguvu za giza kutoka Nigeria. Maji ya shingo!