Nape, usipolichukulia MwanaHALISI hatua utakuwa una chuki binafsi

Nape atawezaje kudhibitisha Mwanahalisi wamefanya kosa?
Mwenye uwezo huo ni Makonda peke yake na anaweza kuwafungulia Mwanahalisi kesi!
 
Ulitaka waandike hivi

Mheshimiwa Makonda ambaye sio Bashite wa sasa ana divisione one ya point seven baada ya kupata F zote kwenye masomo yake ya kidato cha nne
 
Mleta uzi huu nae kasoma Gazeti la mwanahalisi akiwa amelewa viroba maana sioni mantiki ya kufungia hilo gazeti ikiwa limeadika kweli.
 
Neno uchocheze ni nenolinalo tukumbusha Enzi za makaburu South Africa , walilotumia kuwagandamiza weusi, sasa linatumiwa Tz kugandamiza uhuru wa mawazo , epuka kufuata mgandamizo wa utawala
 
Wewe Mwenyewe Umeandika Kwa Jazba Unategemea Upate Majibu Laini?

Safi Sana Mwana Halisi Kwa Kuandika Uhalisia Kuhusu Bashite.

Mkuu sio jazba, sheria ichukue mkondo wake, hauwezi ukaandika vile "Daudi (Makonda kwa sasa)" yaani mwanahalisi wamepata wapi kibali cha kubatiza? Ila kwa kuwa mh Nape naye siku hizi hatumuelewi atakaa kimya.
 
Tulia tulia wewe UVCCM najua na wewe utakua umefoji vyeti tu, ngoja tuanze na Bashite kwanza alafu tutawafuata nyinyi....hapa ni zamu kwa zamu

Haina shida mkuu....Ila mwanahalisi linatakiwa lishughulikiwe, yaani kabisa Nape anakaa kimya!!!
 
Msitake kutuhamisha,tutaendelea kuwasaka wazungu wa unga.Vyeti vinataka kufunika biashara ya unga.Hatukubali.Mada kuu kwa sasa ni "TOKOMEZA MADAWA YA KULEVYA TANZANIA".Tazama Ramani utaona nchi nzuri....Majira yetu sasa....
Vyeti vya Sianga viko safi hakuna shida na ndiye muhusika wa vita hii ya madawa. Huyo Bashite hahusiki na hii vita, yeye alijichukulia madaraka ili apate nafasi ya kuwataja wabaya wake wachafuke tuu na kesha FUKUZWA KWENYE JUKUMU HILO. Kwahiyo vita iko palepale tena kisayansi zaidi.
Na kwa taarifa yako kuna ma dealer wakubwa sita wako kizuizini kimya kimya huku uchunguzi ukiendelea na mzigo mkubwa umenaswa. Huo ndio utaalamu wa kazi hiyo.
 
Wana jukwaa heshima kwenu.

Niende kwenye hoja.

Gazeti la leo la Mwanahalisi limeandika taarifa ya uchochezi, kudhalilisha na kuchonganisha. Nikiwa kama mkazi wa Dar es salaam imenikwaza sana.

Kuna aya nyingi zinazosema '' Daudi (Makonda kwa sasa)" huu ni udhalilishaji, Nape upo kimya kwa nini? au bado una bifu la wem#?

Daudi (Makonda Kwa sasa) alipata sifuri (division zero). Makonda amekana juzi kwenye kikao cha RC hajawahi kupata zero,unataka nini ili uchukue hatua.

Hivi ungekuwa umeandikwa wewe mh Nape ungekaa kimya?

Na usipolichukulia hatua juu ya hii habari, nitaamini unayoyafungia ni kwa sababu ya chuki.

Msijibu kwa jazba tushee mawazo

Nawasilisha
Sasa tatizo la Mwanahalisi hapo lipi? Kusema ukweli alipa sifuri? Au kwenda kuweka kambi Kolomije??

Kwani wanatumia kodi zetu kukaa Kolomije?? Nadhani siku siyo nyingi akili zako zitakuwa Kama Daudi Bashite
 
Umetumwa na Daud Bashite au?, kukana peke yake haitoshi, mwambie huyo Daud Bashite alete vyeti hadharani kama kweli hana div 0, vinginevyo yaandikwe mabango yawekwe barabarani kama wanavyofanya wa mitandao ya simu kuonyesha Daud Bashite na vyeti vyake
 
Msomi la kiwango cha shahada unapoombwa vyeti vyako ukakaidi, unaongeza maswali yasiyo na msingi wowote. Weka vyetu bhana si ulivipenda mwenyewe!
 
Wana jukwaa heshima kwenu.

Niende kwenye hoja.

Gazeti la leo la Mwanahalisi limeandika taarifa ya uchochezi, kudhalilisha na kuchonganisha. Nikiwa kama mkazi wa Dar es salaam imenikwaza sana.

Kuna aya nyingi zinazosema '' Daudi (Makonda kwa sasa)" huu ni udhalilishaji, Nape upo kimya kwa nini? au bado una bifu la wem#?

Daudi (Makonda Kwa sasa) alipata sifuri (division zero). Makonda amekana juzi kwenye kikao cha RC hajawahi kupata zero,unataka nini ili uchukue hatua.

Hivi ungekuwa umeandikwa wewe mh Nape ungekaa kimya?

Na usipolichukulia hatua juu ya hii habari, nitaamini unayoyafungia ni kwa sababu ya chuki.

Msijibu kwa jazba tushee mawazo

Nawasilisha
Kama kweli Bashite hakupata sifuri njia ilikuwa ni moja tu afungue kesi Mahakamani kwa kuchafuliwa jina dhidi ya wafuatao:-
Gwajima
Muhariri Mwanahalisi
Mage Kimambi
et.all

N.B Aliosoma nao wapo acha kiherehere na ushabiki wa kijinga
Cccm oyeeeeee
 
Back
Top Bottom