sokwe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,022
- 1,059
kwa maneno yako haya,je na mimi nikisema usalama wa taifa hawana meno/faida maana wanafanya kazi ambayo haifatiliwi ikiwasilishwa kwa vyombo vinavyohusika,je nitakua nimekosea nikisema kiboreshwe
Ni ukweli mkuu hawana meno kwasababu kama wanaweza kutoa taarifa tu lakini wasiweze kubadilisha madhara ambayo tunaweza kuyapata kama taifa! Kazi yao ina maana gani? Ila wanaweza kuwapoteza watu au kuteka watu ambao hawana madhara yoyote kwa taifa simply tu watawala hawataki/hawapendi kusikia maoni/mawazo tofauti ...too low.