Hujiulizi why bailout, USA, economy crunch, why Obama vs dowans, operations mocking bird etc. Gusa general electric au Microsoft uonje joto?!Movie za James Bond zilishakwaribu
Hujiulizi why bailout, USA, economy crunch, why Obama vs dowans, operations mocking bird etc. Gusa general electric au Microsoft uonje joto?!Movie za James Bond zilishakwaribu
Huna kitu unachojuaUsalama wa taifa ni wahuni tu
Wao wambie wamfuatilie Lisu ndio wanachojua tu
Kwanza ngosha hashauriki
Labda jei dabliyuu tizedi wampe kisago basi ndio kilichobaki
ThibitishaWengi wao ni wapuuzi sana, kazi kujisifia tu, eti unanijua mimi ni nani.... So what, ili iweje... Na ukweli wamebakiza uzinzi na kuwafuatilia vyama vya upinzani hususan Chadema as if hao ndio victim wa ukuaji WA uchumi, as if chadema ndio wanaofisadi mali za nchi hii...
Yaani leo kazi ya usalama wa taifa ni kufuatilia mikutano ya chadema na maandamano.
Yuda mkuu anatoka CDMKwani hujui kuwa Chadema ndiyo wasaliti wa nchi hii???
Hapo hatari yake naona wanaweza wakam JFKennedy rais wetu,ukiwapa uhuru unaoutaka.Usalama wa taifa wanafanya kazi isiyo na matunda sasa unaishia kushauri je wakikataa kuchukua ushauri wako unafanyeje?? Hivi Rais katokea CCM ambao hao hao ndio wameingua mikataba mibovu alafu unamshauri eti mkataba ni mbovu sasa hapo unategemea atachukua ushauri wowote
Umefika wakati TISS iwe huru ikiwezekana hata mkurugenzi wake asiteuliwe na Rais ifanye kazi kwa kujitegemea kma ile ya Australia ili iogopeke hata na wanasiasa maana kwa staili hii ya kushauri shauri tu viongozi hao hao waliotufikisha hapa hakuna mabadiliko ya maana yatakuja
Sheria ya TISS ifanyiwe mabadiliko
Tulia weweeacha kutisha watu kwa ujinga wako utaanza kukamatwa wewe kwa kujifanya usalama wa taifa
Unazungumzia bunge hili au lile la marehemu 6 rip?wawe wanatoa taarifa kwa raisi na kwa spika wa bunge ikitokea wameishauri selikari hakuchukua hatua bunge liingilie kati
Wacha wamKennedy maana interest yao ndo itakuwa interest ya nchi tofauti na sasaTatizo nalo liona hapo kama TISS watapewa uhuru mnaoutaka kunahatari kubwa ya kumJFKennedy rais incase ametofautiana na interest yao...ni muhimu kazi za usalama zikabaki kama zilivyo kwa usiri na ushauri kwa executive..beyond that tutakuwa na muhimili mwingine wa nne,nilivyomuelewa mheshimiwa nape kwamba usalama wa taifa wapewe meno ya kushauri na execution ya mambo ambayo wakishauri hayafanyiwi kazi...hii itakuwa ni hatari considering the type of constitution we have nw...wanafanya kazi nzuri tuwatie moyo
Hata sasa wanao uwezo huo Mkuu tena sana so ondoa hofu maana kama Rais atakua mwadilifu kuna haja gan yakufanya hivyoHapo hatari yake naona wanaweza wakam JFKennedy rais wetu,ukiwapa uhuru unaoutaka.
Ahsante mkuu Poise mimi nakuelewa sana. Tuendelee kuipenda nchi yetu. Huenda ikatokea tukawa ktk nafasi ya kurekebisha haya tunaoyaona.CWR2016 ,
Mkuu
Comment yako namba # 336 umeniweka kwenye Cc.tag /mentioned me.
Ni kweli hata Hayati Mwl. Nyerere , alisema haya mambo siyo vitabu vitakatifu kuwa hayabadiliki.
Inawezekana sana kufanya mabadiliko na maboresho yote yanayopendekezwa ila pana matundu mengi.
Nikiandika kuwa pana matundu mengi naomba tu ujitahidi kuelewa hivyo kuwa ni matundu kama ya wavu / net ambayo siwezi kuandika kwenye social media au kumwambia yeyote.
Naomba niishie hapo mkuu.
Utajua kuwa wamepwaya kwa kuona deals kama Richmond,pea,escrow zinaendelea kupigwa tu..pia issue kama za kununua ndege kwa cash huku kuna migogoro ya malipo na makampuni kibao na kusababisha ndege hizo kushikwa moja baada ya nyingine ni kashfa kubwa!Utajuaje kama wamepwaya wakati kazi zao ni invisible mkuu?
Kama walitoa ushauri na haukufanyiwa kazi basi itabidi ipewe meno ili isiishie hapo pa kushauri tuKama siyo usalama wa taifa hayo uliyo yataja usinge yaskia kiongozi,
Usalama wa taifa huwezi kuwalaumu, hamna mwenye ushahidi kama ishu ya escro hakuwakutoa taarifa sehemu husika,
Ishu ni viongozi wakuu wa serikali na mawaziri kuwa sehemu ya wapiga deal hao ndiyo wa kuwalaumu kwa kupewa taarifa na kuziweka kapuni