NAPE:Ukikasirika vunja Tv nyumbani kama uvumilifu wa uwanjani unakushinda

makalango

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
451
254
Waziri wa habari na michezo ,Nape moses Nauye amesema hayo jana wakati wa uzinduzi wa mfuko wa kuisaidia timu vijana serengeti boys,"kama ukikasirika kunywa maji au nenda nyumbani,tunaomba tusiharibu miundombinu ya uwanja,simba wanajua gharama waliyotumia kukarabati uwanja ule,ukiona huna moyo kukaa uwanjani basi kaa nyumbani kwako "
 
Back
Top Bottom