Nimemsikia katibu wa uenezi wa CCM akijitamba kwenye chombo kimoja cha habari kwamba chama chake wana uhakika wa kushida zaidi ya walivyoshinda Igunga. Amesema hii ni kutokana na utafiti walioufanya na kugundua kwamba bado sisiem inakubalika sana Arumeru.Ila kilichonishangaza hajasema huo utafiti ulifanyika kwa njia gani ukizingatia hakuna kura za maoni zilizowahusisha wananchi ambozo zimeshafanyika au anataka kutuambia kwamba ana scanner inayoscan ubongo wa wananchi.

Mkuu naona utabiri wa nape ulikuwa sahihi kabisa 100%. Mpeni salaam mwambieni anakaribishwa sana kwenye sherehe ya kumpongeza SIOI mkwe wa EL.Nimemsikia katibu wa uenezi wa CCM akijitamba kwenye chombo kimoja cha habari kwamba chama chake wana uhakika wa kushida zaidi ya walivyoshinda Igunga. Amesema hii ni kutokana na utafiti walioufanya na kugundua kwamba bado sisiem inakubalika sana Arumeru.Ila kilichonishangaza hajasema huo utafiti ulifanyika kwa njia gani ukizingatia hakuna kura za maoni zilizowahusisha wananchi ambozo zimeshafanyika au anataka kutuambia kwamba ana scanner inayoscan ubongo wa wananchi.