Nape si mzima!!

Come what may,even an idiot has got his own way of thinking!!!!!
Nape with less Or no analytical as well as amiable type of personalities.
To my opinion,
Nape is writing himself off in politics because of his poor strategic plans for winning public stunt on behalf of his political party and for the interests of his statesman whom he is serving in.
Certainly, I regard him as an outclassed politician whose visions and thoughts are confined in an enclosed darkened cave having no even the gaping holes for piping out to see what has been taking place beyond the boundaries of his own insights & horizons about political dynasties practised in our country.
People all over the country are now fed up of all these dirty and simple politics you have been making day and night for the sake of maintaining populace and authority in reigning the state so far.
With respect to these outlooks, Nape is no where to be placed rather than taking him to a place of people with a full fledged common logical fallacies who intentionally want to drag other people's will and understandings to his own virtue leaving reality and objective truth deviating from its course.
Give people a room to decide on what is moral or immoral under rational point of view on their own accord and not otherwise.
U are a narrow minded person cause I see u instilled with:
1.Faulty cause
2.Sweeping generalization
3.Hasty generalization
4.Faulty analogy
5.Faulty sign
6.Tautology
7.Appeal to authority
8.Slippery slope
9.Red Herring &
10.Appeal to ignorance

U can not argue out of those 10 well outspoken logical fallacies as cited above. Am very sceptical with your academic status,by the way.

My plea to you"Nape" ,alwayz remember you have to have both elements present in your message,regardless of the personality types listening " logic and emotion" .Cause the balance between the two are the twin engines of persuasion and influence.

Moreover,u got to know that Anti-intellectualism has been a good constant thread winding its way through our political and cultural life,nurtured by the false notion that democracy means that "my ignorance is just good as your knowledge''.
U are gone and done my dear!!!!!!!!!

Mungu ibariki Tanzania na watanzania wake wote ili waweze kuifikia ile nchi ya ahadi!
It's me Magohe!!!
 

Nimevutiwa na hizo aya hapo juu na niseme tu kwamba si kweli kwamba Nape unamheshimu Dr. kwa vile katika waraka wako huo, umeandika maneno mengi tu yasiyokuwa na staha juu ya Dr. na hivyo kuifanya aya hiyo ya kwanza kuwa ya kinafiki zaidi. Huwezi kumtusi mtu unayemheshimu hata siku moja.

Wana JF, kwa hizo aya zinazofuatia hatuoni kwamba Nape anaweza kuwa labda na yeye ni mamluki ndani ya CCM? Manake naona kama anakata tawi alilokalia yeye mwenyewe kwa kuelezea uozo ndani ya watawala wetu wa sasa. Wao ndo wanaotumbia tufunge mikanda na wao hao hao ndo wanaokwenda kutibiwa nje ya nchi. Nimeshindwa kumuelewa kabisa anamaanisha nini.
 
Imetolewa na;
Nape Moses Nnauye
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa ==
 

Hivi nyie waislamu mtaelewa nini na akili zenu zitafunguka lini? Tunazungumza udini uachwe lakini cha ajabu Slaa mnaendelea kumwita padre. Hivi wakatoliki wakichoka na ujinga wenu wakumwonea mkatoliki itakuwaje?

Hamuwezi kumtaja mtu tu kwa jina? Mbona sijawahi sikia mkimtaja rais ama makamu wake Billal kuwa ni ustaadhi jk ama sheikh Billal? Nyie ubongoni kwenu si kuzima mna mapepo mabaya sana nyie.
 
Sijaona hoja ya kujadili hapo.matusi,kejeli,ukosefu wa adabu kwa wakubwa,upuuzi mtupu.nape wewe ni dunce tena sana tu.
 
Shida kubwa tuliyonayo watanzania hasa wanasiasa ni kwamba tunatumia muda mwingi sana kuajdili WATU badala ya MASUALA.Binafsi sijanufaika na lolote ktk hoja hii,bali ninachokiona ni kwamba huyo mtoa tuhuma anazidi kumuimarisha mtuhumiwa kisiasa pasi na yeye kujua.
 
Nape,
Kama ujinga unalewesha basi na wewe umeshalewa siku nyingi.

Umeona eeh!
Badala ya kuleta mikakati ya kuwanusuru watu wanaokufa kwa njaa Manyara na kwingineko, yeye analeta upuuzi wa kadi ya Slaa. Sisiemu ir completely rotten. Wana diverge hoja kila siku
 

Hata mwanafunzi wangu wa form one angeweza kuandika kitu kizuri kuliko NAPE
 
Nape jadili issues na siyo characters. Wewe ulizaliwa na mama na baba walioishi katika ndoa ya aina gani?. Utafurahi vipi Watz wakianza kuzungumzia private life ya mama na baba yako?:mimba:
 

Hapo kwenye Italic, wakati Nape amewekeana Bifu na mzee Makamba akiwa mgombea wa uvccm, kuna ndugu yake 1 aliwahi kudai kwamba huyu kijana hawamtambui kama ni kijana wa mzee Nnauye, kwa maneno mengine ni mtoto wa nje ya ndoa, kwa waislam anaweza kuitwa mtoto haramu, kwanini kwa Dr. Slaa (ambaye ninaushahidi hajatelekeza watoto wake kama Nape anavyo dai, kwasasa sitoi ushahidi huo, ila ka hints tu, aliyekua waziri wa mambo ya ndani Masha amewahi kuthibitsha hilo somewhere) anaona kama amekosea sana? Hivi kwa mfano mtu ukiona huwezi kuendelea kua mseja wakati sifa ya Upadre lazima uwe mseja, kuna tatizo gani ukiaacha? hivi hiyo ni kumuasi Mungu kweli? Nahisi hata uelewa wako wa mambo ya imani nao ni mdogo sana, ndani ya magamba, kuna watu wanatuhumiwa kufunga watu kwasababu tu ya vimada, hili Nape unalijua sana tu sema hutaki kua mkweli.

Hapo kwenye Bold, mkuu hivi unapopewa nyumba na mwajiri wako, ile nyumba inakua yako au ya mwajiri wako? Siku ukiacha kazi au kuachishwa kazi, nyumba hiyo utaendelea kuimiliki au kuiacha? Hata hili nalo hivi linataka mtu uwe na Degree kujua kama vitu hivi havilinganishiki? Kumbe ndo maana nchi yetu ni masikini while kuna rasilimali za kutosha, wapanga sera kama ndio hii namna yenu ya kufikiri, KIKWETE kuna wakati aliwahi kusema hata yeye hafahamu kwanini nchi ni masikini, jibu lipo hapo, Kadi mtu amenunua kwa pesa zake, hivi hiyo si ni yake au mali yake? wewe umeajiriwa sehemu, wakakupa Nyumba na Gari may be, hivyo sio vyako, siku ajira ikikoma na vyeyewe unarudisha, Kweli sometimes mtu unaweza kwenda shule lakini wala usielimike, leo nimeelewa kupitia Nepi.
 
Mbona Nape anaonesha umamuma wake hadharani? Hana mtu wa kumshauri kuhusu anayoyatoa hapa?
 
Matusi ya hawa jamaa ndo kilichomnyima SIOI kura arumeru mashariki, wapo juu kwa matusi hawa jamaa, kama Mwigulu, Mkapa, na wengine. Hivi kumbe maadili ya chama tawala yanaruhusu matusi? Nilikuwa sijui. Tunajua ni mkakati mlioupanga. Hivi nchi inaongozwa kwa mipasho? Da tutafika kweli. Ushauri wangu Kwa CHADEMA wasijibu chochote, atatulia tu, lakini pia tukumbuke ndo ajira yake, atakula wapi sasa, Hivi Katibu wa itikadi na uenezi, Haya matusi ndo itikadi? Na mipasho ndo uenezi? Poor Tanzania!!!! tunakwenda wapi?

Suala la imani, ndoa, mapenzi, ......... What the f.ck is this?
Hivi yule kijana wa mwenyekiti wako ni mtoto wa First Lady kweli? Mbona hauhoji hilo? Na kama ni umri Mangula ni Kijana? Serengeti boy eee? na kama ni upadre we unajua kanisa alilokuwa analihudumu wanasemaje? You are just like as...le:deadhorse:
 
mimi siasa siwezi aisee -- inataka moyo wa uvumilivu sana. sikawii kumtwisha mtu konde la bichwa - ha ha ha
 
yep mkuu, wakamdanganya na mzee wa watu aropoke masuala ya familia ya nyerere kule arumeru--- duh aibu tupu unapokuwa na kampeni manager low namna ile -- hamshindi uchaguzi hat mmoja.
 
Nawashangaa mnaobishana na Nape ili hali mnajua akili yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…