Msumari huo,nape yupo vizuri cha msingi ni kujibu hoja je ingekiwa zitto ingekuwa vipi ? Na je kauli ya padr mzinifu kwamba kuwa na kadi ya ccm ni laana nayo mnasemaje ? Na je kuwaadaa wenzakevwarudishe kadi za ccm wakati yeye bado anaitunza siyo unafiki ?
Kweli Nape wewe sio mzima. Sasa utafanyaje?
Nadhani si unafiki ila ana mkakati wa kukusanya nyingi iwezekanavyo kwa kumbukumbu na yake ikiwa moja wapo. Huenda mmeshahisi mpango wake sasa mmeshtuka nini?Msumari huo,nape yupo vizuri cha msingi ni kujibu hoja je ingekiwa zitto ingekuwa vipi ? Na je kauli ya padr mzinifu kwamba kuwa na kadi ya ccm ni laana nayo mnasemaje ? Na je kuwaadaa wenzakevwarudishe kadi za ccm wakati yeye bado anaitunza siyo unafiki ?
Na kiswahili hivyo hivyo? Kumbuka Nape ni mtanzania siyo mwingereza.😱hwell: ........... NAPE CANNOT MAKE THREE SENTENCES IN ENGLISH WITHOUT GRAMMATICAL MISTAKES.
mkuu hata ingekuwa zitto kama hakulipia utetezi ungekuwa huohuo. Pia mkuu suala la uzinifu ccm ni zaidi,tumuulize nape na rostam ilikuwaje? Jk kwa nini amfunge Babu seya? Kwa unafiki ccm ndo wenyewe.Msumari huo,nape yupo vizuri cha msingi ni kujibu hoja je ingekiwa zitto ingekuwa vipi ? Na je kauli ya padr mzinifu kwamba kuwa na kadi ya ccm ni laana nayo mnasemaje ? Na je kuwaadaa wenzakevwarudishe kadi za ccm wakati yeye bado anaitunza siyo unafiki ?
mkuu unaweza niambia maana ya kadi? Mimi nina Tshirt ya ccm,je mi ni mwana ccm? Mkuu usikurupuke!Nape,
Unaweza ukamwambia nape kwamba ni mjinga kwa sababu ya kusema ukweli pole sana, mkubwa lakini lazima ukubari kwamba babu ana makosa kuendelea kumilki kadi ya ccm lakini baado mnamtetea kwamba hana kosa basi kumbe hata kuitelekekeza famila yake hakufanya kosa lolote!