hafai huyo jamaa hana kadi ya CCM ni mtu wa kudandia MWANA CCM MWEZAKE MKINGA nafikili wote mnamfahamu alishasema kuwa nape ni mtu wa kudandia hata marehem ...... si baba yake
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......
kweli Jf ni zaidi ya social netiweki...
Kaka watu wanataka kuona scanned copy ya kadi yako ya uanachama!Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......
JF acheni kupoteza muda wa watu na porojo. Itakuwaje apite chujio la uteuzi za mamlaka kuu katika chama - mwenyekiti, cc na mpaka nec ya ccm? tuache kudanganyana.
Kaka watu wanataka kuona scanned copy ya kadi yako ya uanachama!
Kuna dalili tosha tuhuma zina ukweli, kwani Nape alivyomwepesi kujenga utetezi nashangaa hili anashindwa kujitetea kwa kuleta vithibitisho hivyo. Kwa hiyo tukuelewe Nape ni tapeli.
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......
Nimefatilia hii thread baada ya jibu la nape nikitegemea kwamba angejibu kitu cha maana sasa nimepata kilaza mwingine after le baharia,ccm kwisha kazi kama wenye chama ndio nyie kwisha habari yenu