utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Mbowe na genge lake la wahuni ni janga bungeni na kwa taifa
Shinyanga.Katibu
wa Itikadi na
Uendezi wa Chama Cha mapinduzi (CCM),Nape Nnauye amemtaka Kiongozi wa
Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe kujiuzulu nafasi hiyo mara moja kwa
sababu ameshindwa kuiongoza kambi hiyo.
Wito huo uliutoa mjini hapa Ijumaa jioni
alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya siku
Nne ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, Abdulrahman Kinana katika mkoa huo.
Nape alisema vurugu zilizotokea hivi
karibuni Bungeni ni uthibitisho wa wazi kuwa,Mbowe ameshindwa kuiongoza
kambi hiyo kwa kuwa kabla yake hakukuwahi kuonekana fujo na vurugu
kama hizo katika chombo hicho kinachoheshimika.
Alisema udhaifu wa Mbowe katika
kuiongoza kambi hiyo ndiyo unaosababisha ishindwe kufanya kile ambacho
Watanzania wanakitarajia kutoka kwa wapinzani.
Alisema wanasiasa ambao wanasababisha na
kushabikia fujo na vurugu hawafai kwa madai kuwa wanaipeleka nchi
mahali pabaya.
Hata hivyo, alisema hilo halitafanikiwa
kwa sababu Serikali, CCM na Watanzania wapo makini dhidi ya mtu yeyote
anayepanga kuwachonganisha. Aliishangaa Chadema kwa kushinikiza wabunge
waongezwe kwenye Bunge la Katiba huku ikitaka wengi wa hao watokane na
wanasiasa.
Chadema inataka wawakilishi wa wakulima
wawe kumi tu wakati wakulima ni asilimia 80 ya Watanzania wote. Hivi
kweli wana lengo la kuwatetea Watanzania au maslahi binafsi
tu,?alihoji Nape.N
nape waliwataka wananchi kufanya uamuzi
wa busara wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwakani na Uchaguzi
Mku
Naunga mkono hoja. Mh. Mbowe ajiuzulu haraka sana.
Lakini siku anaondoka mbowe madarakani labda cdm ife kwamba kile chama ni chake hakuna mtu wa kumwambia kitu ndani na nje ya chadema ,jamani cdm ni ya mbowe.
mkuu labda anadhalilisha kambi ya maccm na si wapinzani,Mbowe ni aibu kwa upinzani. Anadharirisha kambi ya upinzani bungeni.
mkuu mbona nasikia jk alikuwa akikimbilia kule bilicanas akiwa waziri wa mambo ya nje?Mbowe kule kwenye mziki ndiyo palimfaa sana ni vema akarudi kuendesha muziki.
Shinyanga.Katibu wa Itikadi na Uendezi wa Chama Cha mapinduzi (CCM),Nape Nnauye amemtaka Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe kujiuzulu nafasi hiyo mara moja kwa sababu ameshindwa kuiongoza kambi hiyo.
Wito huo uliutoa mjini hapa Ijumaa jioni alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya siku Nne ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, Abdulrahman Kinana katika mkoa huo.
Nape alisema vurugu zilizotokea hivi karibuni Bungeni ni uthibitisho wa wazi kuwa,Mbowe ameshindwa kuiongoza kambi hiyo kwa kuwa kabla yake hakukuwahi kuonekana fujo na vurugu kama hizo katika chombo hicho kinachoheshimika.
Alisema udhaifu wa Mbowe katika kuiongoza kambi hiyo ndiyo unaosababisha ishindwe kufanya kile ambacho Watanzania wanakitarajia kutoka kwa wapinzani.
Alisema wanasiasa ambao wanasababisha na kushabikia fujo na vurugu hawafai kwa madai kuwa wanaipeleka nchi mahali pabaya.
Hata hivyo, alisema hilo halitafanikiwa kwa sababu Serikali, CCM na Watanzania wapo makini dhidi ya mtu yeyote anayepanga kuwachonganisha. Aliishangaa Chadema kwa kushinikiza wabunge waongezwe kwenye Bunge la Katiba huku ikitaka wengi wa hao watokane na wanasiasa.
"Chadema inataka wawakilishi wa wakulima wawe kumi tu wakati wakulima ni asilimia 80 ya Watanzania wote. Hivi kweli wana lengo la kuwatetea Watanzania au maslahi binafsi tu,?"alihoji Nape.N
nape waliwataka wananchi kufanya uamuzi wa busara wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwakani na Uchaguzi Mku
Naunga mkono hoja. Mh. Mbowe ajiuzulu haraka sana.
Naunga mkono hoja. Mh. Mbowe ajiuzulu haraka sana.
Kwani Nape keshapata familia yake?