Laiti kama watendaji wengine ndani ya ccm wangekuwa kama Nape tungekuwa mbali sana na wala kusingekuwa na mipasuko ya ajabuajabu maana mipasuko na utendaji mbaya unasababishwa na roho mbaya na wivu pamoja na ubaguzi lakini Nape kaweka itikadi pembeni na kuwachukulia vijana wenzake kama kitukimoja thats good,
NAPE HUKO VYEMA BWANAMDOGO ENDELEA.

Nawashukuru sana wakuu kwa mawazo,ushauri na madongo. Nashauri ambaye hana hakika na anachokisema akifikiri mara mbili,tuweke ushabiki pembeni tuzungumze mambo yatakayotutoa tulipo tuende mbele zaidi.
Bilashaka kwa mujibu wa mijadala ya wengi hapa,wengi hawakufanikiwa kuona kipindi kile. Hakika kama Mnyika atakuwa tayari anaweza kuingia hapa kuniunga mkono kuwa TULIJITAHIDI KUWEKA ITIKADI ZETU PEMBENI,TUKAJADILI MAMBO/CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI VIJANA WA KITANZANIA KWA UJUMLA BILA KUJALI ITIKADI ZAO.Tofauti na wengi wanavyo ROPOKA hapa. Hata Mzee simbeye mwishoni alitushukuru kwa kuweka itikadi pembeni.
Nimimi niliyesema ni lazima vijana watoke nje ya boxies za itikadi, na mimi naamini itikadi ZINAWAGAWA VIJANA BADALA YA KUTULETA PAMOJA.
Lakini hili swala la mkataba kati ya wapiga kura na wanasiasa hapa linapotoshwa sana. Nawaahidi jioni kwa saa za hapa kwetu Tanzania nitaingia kulieleza hili. nategemea maswali mengi kuyajibu kwasasa naenda class.

mnyika kamwe hamuwezi nape atabakia kuwa msindikizaji katika chaguzi ushauri wa bure aachane na siasa
Nnauye Jr,
Nashukuru kwa mchango wako, ni kweli majadiliano katika kipindi husika yalitanguliza zaidi utaifa.
Muanzisha hoja amekosea katika baadhi ya maelezo yake, kumbukumbu zangu zinaniambia si mimi niliyeanza kuibua mjadala kuhusu mkataba; nakumbuka wewe ndio ulianza kuzungumzia suala la utofauti baina ya sekta ya biashara na siasa kuhusu mkataba, na kusema kwamba changamoto ya kupima ufanisi katika siasa ni kutokuwepo kwa mikataba.
Ni kweli kwamba nilitofautiana nawe kuhusu mtazamo huo na kutaja ilani na ahadi za kwenye uchaguzi kuwa ni mikataba ya kisiasa kati ya wachaguliwa na wapiga kura.
Nafurahi kwamba umeahidi kuingia hapa kulitolea ufafanuzi zaidi suala hili, ambalo kwa kweli ni mjadala wa kimtazamo unaosaidia kuibua fikra mbadala.
Nafahamu kwamba TBC wana kawaida ya kurudia kipindi husika siku ya jumanne mchana kwa saa za nyumbani. Hivyo nataraji kwamba kipindi hicho kitarudiwa kesho tarehe 12 Januari. Kwa wale ambao hawajakitazama ni muhimu kukitazama kabla ya kufanya uchambuzi.
Mada ya msingi ya kipindi husika ilikuwa 'vijana na maendeleo'; kwa hiyo napendekeza tutazame picha pana zaidi ya maudhui ya mjadala husika badala ya kujikita katika suala moja. Dhima ya vipindi kama hivyo ni kuchochea mjadala kama huu na hatimaye tupate fikra mbadala za kufanya taifa letu lisonge mbele
JJ
Nawaahidi jioni kwa saa za hapa kwetu Tanzania nitaingia kulieleza hili. nategemea maswali mengi kuyajibu kwasasa naenda class.

Samahanini kwa kuchelewa kuingia,foleni kiasi Dar!
Lakini kipekee na kwa heshima kubwa namshukuru sana sana Ndugu yangu John Mnyika kwa kuingia na kuamua kuweka mambo sawa hapa ili mjadala uendelee vizuri!
Nilitumia neno KUROPOKA kwasababu nlikosa neno sahihi la kumwambia anayeponda/kusema na hasa yale ambayo kwakweli hayakutokea,tena anayasema kama vile ameyashuhudia kwa macho na masikio yake. Kama kuna mtu KAKWAZIKA kwa neno hilo samahani sana sijakusudia kudharau mchango wa mtu yeyote hapa JF,hata wale ambao kila wakiingia hapa hawataona jema la Nape, nao ni mtazamo wao,nawashukuru,kwani pengine kwa kusema hayo huniwezesha kujiangalia vizuri niko aawa au la.
Sasa ntajibu moja baada ya jingine, karibuni kwa mjadala.