NAPE NNAUYE unatuangusha VIJANA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Ndungu yangu Nape

Pole sana na majukumu, vijana ambao tuko chini yako tumeanza kukata tamaa maana tulitegemea wewe uwe tegemeo letu sasa umetugeuka umeanza kufata nyayo za mafisadi, umetukatisha tamaa umetukatisha tamaa, umeenza kuwa mtu msaliti, nini kimekubadilisha??

Nape badilika vijana bado wanakuitaji
 
nape alietuma mada hiyo hapo juu ni mfu wa chadema na mjua anatumika tu na basha wake,poleee samaki polee
 
Ila sisi vijana wa kichaga haja tuunganisha kwani alishasema kua wachaga wote ni cdm, mwezi wa kumi na mbili itabidi tuongee na wazee wetu katika kila ukoo ili tujadili ile kauli yake na mustakabali wetu
 
Ndungu yangu Nape

Pole sana na majukumu, vijana ambao tuko chini yako tumeanza kukata tamaa maana tulitegemea wewe uwe tegemeo letu sasa umetugeuka umeanza kufata nyayo za mafisadi, umetukatisha tamaa umetukatisha tamaa, umeenza kuwa mtu msaliti, nini kimekubadilisha??

Nape badilika vijana bado wanakuitaji

umesahau mkuu kufafanua ................ kawaangusha kwa lipi na kabadilika kwa lipi.................. fafanua kidogo basi kwa some detaila ili tuelewe vizuri hoja yako..................... thanks....................
 
Ndungu yangu Nape

Pole sana na majukumu, vijana ambao tuko chini yako tumeanza kukata tamaa maana tulitegemea wewe uwe tegemeo letu sasa umetugeuka umeanza kufata nyayo za mafisadi, umetukatisha tamaa umetukatisha tamaa, umeenza kuwa mtu msaliti, nini kimekubadilisha??

Nape badilika vijana bado wanakuitaji

haja yako ipo kimajungu zaidi.
amekuangusha kwenye lipi? ulitegemea akubebeje? viongozi wa jumuiya wako mbona huwazungumzii wakati wao ndio wanahusika na wewe moja kwa moja?
 
nape mdogo wangu naomba isioneshe ukilaza wako maana chama chetu unakipeleka kubaya, jaribu kulenga ulichotumwa maana unatuabisha na kutuvunja moyo vijana tuliojitolea kulinda heshima ya chama, Narudia Narudia Unatuvunja moyo kazi hii hujamaliza wewe unakurupuka na nyingine, tulikuwa tunaona wewe kama star wetu lakini naona huna tofauti na mtangulizi wako makamba
 
Public opinion zipo wazi.Huyo Kijana anapayuka mno.Na kila siku iendayo kwa Mungu anazidi kupoteza mwelekeo.Kijana fanya homework kwanza kabla ya kufungua mdomo.Lakini kama kichwa chako kimeishiwa mawazo ni heri uchukue likizo ya mafunzo.Propaganda zako ni kinyaa kwa jamii.
 
Ndungu yangu Nape

Pole sana na majukumu, vijana ambao tuko chini yako tumeanza kukata tamaa maana tulitegemea wewe uwe tegemeo letu sasa umetugeuka umeanza kufata nyayo za mafisadi, umetukatisha tamaa umetukatisha tamaa, umeenza kuwa mtu msaliti, nini kimekubadilisha??

Nape badilika vijana bado wanakuitaji

Kila siku nape nape nape,inaelekea amewaweza.Huyu ndiyo kiboko yenu tu,huko mmejaza madikteta mnategemea nini?mna kadikteta kenu huko mnakajua....
 
siyo mtendaji,ila mpayukaji bin mropokaji
Inaelekea tafsiri ya propaganda kwa hawa jamaa wa magamba inawagonga... Walimpa Tambwe Hiza kazi ya propaganda akachemsha hadi akashindwa kisimama na kusikilizwa mbele za watu, na sasa huyu Nepi ndio huyo tena, propaganda kwake ni kumsema Dr Slaa. Chama Choka Mbaya (CCM)
 
Ndungu yangu Nape

Pole sana na majukumu, vijana ambao tuko chini yako tumeanza kukata tamaa maana tulitegemea wewe uwe tegemeo letu sasa umetugeuka umeanza kufata nyayo za mafisadi, umetukatisha tamaa umetukatisha tamaa, umeenza kuwa mtu msaliti, nini kimekubadilisha??

Nape badilika vijana bado wanakuitaji

Kwa akili zako timamu ulitegemea mtoto wa nyoka awe kenge au mamba????
 
Mnapoendelea kumjadili mnaendelea kumfundisha na kumpa umaarufu wa bure.
 
Back
Top Bottom