Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
wameru mashariki ndio walioshinda
Nape yupo sahihi, kweli kabisa kuna wana ccm hawakubaliki katika jamii.
Ni kweli kauli ya SENDEKA ya kuendekeza ukabila na ile ya LUSINDE kumwaga matusi zaidi ya mlevi wa gongo hata kama mimi ningekuwa mpiga kura wa Arumeru nisengekipigia kura chama cha namna hiyo.
Wawatumie watu wenye staha na lugha njema kwenye kampeni zao
Hawawezi kukosa kisingizio. Najuwa hawatasingizia kuibiwa kwa kura zao, manake mwizi ni vigumu kuibiwa. Watasingiziana wao kwa wao, kulaumiana wenewe napengine lazima kuna magamba flani yatalazimika kujivua. Aibu tupu. Huenda wakamtupia lawama Lowasa.