Kapepa Maswanya
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 265
- 106
Wasizime tunataka kuongeza pato kupitia ml 7
Sasa ivi TV azina mpango tena hata ITV yenyewe siku izi aina mvuto tenawameshindwa kuhusu local channel seuze kuzima mitandao
Nchi masikini hupambana zaid na watu wao badala ya kupambana na umasikini. Inaniuma sana kuona kitengo kinachofanya kazi vizuri nchini mwangu ni TCRAHabari wanaJF,
Waziri wa Habari Nape Nnauye amesema kuwa Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA inaandaa kanuni za kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii nchini.
Hana uwezo wa kuzuia hili .ID fake sijui kama zitasalimika.
wewe umewahi kuishi nchi gani mpaka uisemee Dunia nzima!!??Safi sana Nape.
Duniani kote hamna democrasia ya matusi.
Kama huna tabia ya kutukana matusi na kuzushia watu uongo kwa nini uogope kanuni??
Lengo la ccm ni kupambana na raia wake , wala si kuleta maendeleo .Kwa nini asifanye mambo ya maana. Ni wangapi wanasoma hizi?
Dah, umenikumbusha SLP ya shule yangu, Shule ya Msingi Kigona, SLP 30, Kigoma ; nimekumbuka zile bahasha na barua za pamoja zilizoitwa ' Airform'.Wanatumia nguvu nyiingi wakati uwezo wanao, wazime mitandao turudi kwenye S . L. P
You can tell the typing error, if you are using a qwerty keypad/keyboard letter I is just after letter U....Jikumu=Jukumu
Basi sawa bwana mwasiti, lkn ukumbuke kuna watu wamewasema watu wasio na mamalaka hakuna chombo cha dola kina shughulikia hiloSafi sana Nape.
Duniani kote hamna democrasia ya matusi.
Kama huna tabia ya kutukana matusi na kuzushia watu uongo kwa nini uogope kanuni??
Sheria zimetumgwa ili kulinda watawaala
chnically, post: 19383946, member: 373722"]Kama tumeamua kuvunja katiba kwa sababu ya kumlinda mtu mmoja.
Wakati wakina Mbowe,Zitto ,Lissu wanatukanwa kwenye mitandao lakini hakuna mtu ameshawakamata watukanaji.
Lakini wanaomsema Rais wanakamatwa kila Siku.
Kichekesho ni kuwa sheria mpaka mtu aliyelalamika kutukanwa mpaka atoe taarifa ndio zifanyiwe Kazi.
Hawa wanaokamatwa kwa kumsema Rais hivi Rais anatoa malalamiko sangapi police?.
Au ndio kujipendekeza.
Kana sheria imetungwa kwa mtu mmoja tuambiwe tu ndani ya sheria hiyo.
Kiufupi tungeanza na police ndio wachochezi no 1 kubambikia watu kesi na kuua watu kimya kimya.
Tuwe Wa kweli police Tanzania ni tatizo.
shule ndogo + nguvu nyingi =nothing.
Wakizima naye itabidi ajiudhuru maana atakuwa hana kazi sasa
WaTanzania waoga mitandao inafungwa na hamfanyi lolote, mlianza ukuta polisi wakawa wanaonyesha mazoezi yao duh mkaogopa mkaja na kata funua sijui imefikia wapi mitandao inafungwa sababu kwenye maandamano tunawasubiri tuwapasue mnakimbilia kwenye mitandao hatuna sehemu ya ku practise mazoezi yetu....njooni barabarani huwa nafurahi sana nikiona bendera nyekundu kisha tangazo "ilani ilani kwa mamlaka niliyopewa na jamuhuri ya muungano wa tanzania natamka kwamba maandamano haya ni kinyume cha sheria jeshi la polisi linawaamuru mtawanyike la si-hivyo tutatumia nguvuuu" baada ya hapo hamna mbwa anakaa mna kimbilia kwenye key board/padsHivi kwa nini hii serikali inahangaika na kisichowezekana? Dawa ni moja tu nayo ni kufungia mtandao na kama hilo hawaliwezi wanyamaze waache kukurupuka kama wehu. Nape Nnauye, kwa kukukumbusha tu hii ni karne ya 21, kwa nini msiagize tu TCRA ifungie mtandao tubaki gizani bila internet?
Hilo la kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii nchini hamtaliweza, ilipo dunia sasa hivi ni ukilaza hata kulifikiria. Ila na mimi nawapa tahadhari, siku kwa upumbavu tu mkikurupuka kufungia mtandao (internet), mtakuwa mmefungulia bomba ambalo litasababisha mafuriko yenye madhara makubwa zaidi kwenu.
Nape inampasa ajiongeze!Habari wanaJF,
Waziri wa Habari Nape Nnauye amesema kuwa Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA inaandaa kanuni za kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii nchini.
Katika maisha ukiisahaanza kuona kila anaepita ni mbaya kwako, yafaa ujitafakari kwanza. Tatizo laweza kuwa ni wewe mwenyewe. Utitiri wa amri/sheria za papo kwa papo kila kukicha haliwezi kuwa suluhisho. Hata huyo anaeng'ang'ania madaraka Gambia, wakati wake alifikia hatua hata kuwakamata wananchi wake anaowahisi na kuwatuhumu kumroga na hatimae kuwanywesha dawa za eti kuwatoa uchawi. Haikusaidia na bado akashindwa uchaguzi na mengine ni kama yalivyo sasa. AMENSafi sana Nape.
Duniani kote hamna democrasia ya matusi.
Kama huna tabia ya kutukana matusi na kuzushia watu uongo kwa nini uogope kanuni??